Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Nilikuwa naweka mambo sawa kwanza usije kuniona wifi sio 😂Hahah Amna Wii najua sio huyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuwa naweka mambo sawa kwanza usije kuniona wifi sio 😂Hahah Amna Wii najua sio huyo
Wew nakuaminia 😍Nilikuwa naweka mambo sawa kwanza usije kuniona wifi sio 😂
Wewe uko peke yako halafu nakupenda sasa 🥰🥰Wew nakuaminia 😍
Nakupenda pia my WiiWewe uko peke yako halafu nakupenda sasa 🥰🥰
Mimi ni mwanaume.
Naishi dar.
Umri ;32
Rangi :Black.
Dini yangu -muslim
Natafuta mpenzi awe na sifa hizi
Awe anaishi dar.
Asiwe serious sana (Awe charming)
Umri 20-35.
Dini yoyote sibagui.
Aliyeridhia aje inbox.
😍😍😍😍Nakupenda pia my Wii
Wewe umemkatili baba Cathe halafu unamtaka mhuni usiyemjua.Dah nijibu pm yangu
Nipo kwenye gari kukufata Dar
Me natafuta mume siyo mpenzMimi ni mwanaume.
Naishi dar.
Umri ;32
Rangi :Black.
Dini yangu -muslim
Natafuta mpenzi awe na sifa hizi
Awe anaishi dar.
Asiwe serious sana (Awe charming)
Umri 20-35.
Dini yoyote sibagui.
Aliyeridhia aje inbox.
Samahani 😂😂
Si Bora udate na TIKTOKMimi ni mwanaume.
Naishi dar.
Umri ;32
Rangi :Black.
Dini yangu -muslim
Natafuta mpenzi awe na sifa hizi
Awe anaishi dar.
Asiwe serious sana (Awe charming)
Umri 20-35.
Dini yoyote sibagui.
Aliyeridhia aje inbox.
mimi sio muhuni.Wewe umemkatili baba Cathe halafu unamtaka mhuni usiyemjua.
Mm saiv nataka wa nyumbani mji mzito huo nimekimbia, Leo breakfast kwa mamaUkipata wawili naomba mmoja umpe kaka yangu Mpaji Mungu
Na msisitize asiwe serious pia kwa kaka angu
Wenzenu mbavu hatuma😁😁Ili umgegede au sio
Umeanza lini kuogopa kazi mpya kaaka?Mm saiv nataka wa nyumbani mji mzito huo nimekimbia, Leo breakfast kwa mama
We si ulinambia niachane na mapenzi mpaka nijipateUmeanza lini kuogopa kazi mpya kaaka?
😂😂😂 Sio ndio uache kabisaa.!!We si ulinambia niachane na mapenzi mpaka nijipate
Uwe unafafanua vzr kauli yako...maana nlishajicommit hapa kudate mpaka don😂😂😂 Sio ndio uache kabisaa.!!
😂😂😂 Acha ujinga ww kuna vitu vya kujicommit sio……….!!! We vipi utambato miti?Uwe unafafanua vzr kauli yako...maana nlishajicommit hapa kudate mpaka don