Natafuta mpenzi kwa waliopo kigoma

Natafuta mpenzi kwa waliopo kigoma

Habari za mida wapendwa,

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 nipo Kigoma mjini natafuta Binti wa umri kati ya 22-25 ambaye badae tukikubalia nitamuoa
KWani kwenu hamna wazee? Wanaoweza kukushauri namna bora ya kufanikisha jambo lako?Au changamoto ni nini?Je hata vijana hawapoo wenyekuweza kukushauri kwa maeneo hayo?
 
KWani kwenu hamna wazee? Wanaoweza kukushauri namna bora ya kufanikisha jambo lako?Au changamoto ni nini?Je hata vijana hawapoo wenyekuweza kukushauri kwa maeneo hayo?
Dunia imekuwa ya kidigitali, vijana na wazee asilimia kubwa wako huku.
Hivyo mleta mada yuko sahihi kuleta jambo lake huku.

"Kupanga ni kuchagua"
 
Kigoma si kuna vita huko we chalii nguvu ya kutafuta madem unatoa wapi si ndo congo hiyo?
 
Kuna ex wangu mmoja yupo hapo kigoma ngoja nikupigie assist mwanawane...tena ana tako huyooo
 
Shilole yupo huko kwenye Nandy Festival. Kama unapenda mitinginya fursa hiyo.

Kama kamwili kako kadogo dogo na una njaa njaa nenda kajipitishe mbele yake na wewe ukatumike.
Ukianza kunawiri tu anakupiga chini.
 
Back
Top Bottom