Natafuta mpenzi (mchumba)

Natafuta mpenzi (mchumba)

naona ata mtu akiweka mavi, watu watachangia ata kama akuyatowa yeye.
 
(This is serious) Mimi mwaume umri miaka 25 nipo Saut mwanza nafuta mpenzi mwenye tabia nzuri ambae tutakuja kuoana nikimaliza chuo mwakani, tuacliana kwa namba 0656179600

non sense!&?@¤'€#! Nenda facebook wapo wa kumwaga.
 
mchumba umepata,mimi hapa,natafuta kiserengeti boy cha kunikuna.......all the best mwaya usisikilize maneno ya wakosaji humu wewe sio wa kwanza wala wa mwisho kutafuta mchumba humu,na wengi wamefanikiwa tu....
 
acha ubishi ndugu, wanaume hatutafutie wenzi kwenye mtandao, waachie wanawake. Kama mkristo nenda church km islam nenda msikitini, kama tatizo kuongea mtumie mchungaji au shehe akusaidie, sawa? Hata sasa umeshaaibisha wanaume!
 
  • Thanks
Reactions: ram
Wanaume nao wanatafuta wapenzi kwenye mitandao? Kweli nimeamini vijana wa siku hizi hawajui kutongoza. Hesabu mnasema ngumu, hata kutongoza nako kugumu. Kipi kirahisi sasa? Ptuuu!

kirahisi kwao ni kunya na kukojoa.
 
(This is serious) Mimi mwaume umri miaka 25 nipo Saut mwanza nafuta mpenzi mwenye tabia nzuri ambae tutakuja kuoana nikimaliza chuo mwakani, tuacliana kwa namba 0656179600
kama uko chuoni na unatafuta mchumba JF lazima utakuwa na matatizo. kwa uzoefu wangu chuoni ni sehemu nzuri sana ya kutafutia mchumba. maana ukiwa chuoni unauwezo wa ku earmark watu kadhaa ambao unaona kulingana na vigezo vyako wanaweza kukufaa na ukaanza kumfuatilia mmoja baada ya mwingine mpaka kieleweke. Baada ya muda fulani unakuwa umeshapata jibu. Sasa unatafuta mchumba JF, nikikupigia simu na nikakwambia niko na sifa unazotaka, kisha baada ya mwaka tukaonana ukaona sio vile utarudi tena JF kutafuta mwingine? Acha woga, mwanaume jitume
 
Hv wanaume wote mliochangia mnataka kuolewa au mngechangia kwa kushauri co kutukana
 
Usisahau kutuma ujumbe huu kwenye magazeti na kwenye facebook ila kuata mwanamke wa kuoa kwenye mitandao?? siju lkn jaribu unaweza kupata.
 
Wazee! Safari hii tuliochelewa kupata wachumba shughuli tunayo mbona
 
Asprin, mfundishe basi tulivyotongozana kwenye uzi wa Konnie asali wa ODM.

Inaelekea mababu hamuwapeleki wajukuu zenu jandoni.
Hahahaha...... Kongosho zile zetu za kizeezee hawa madogo ukiwapa zile hawachelewi kubakana.....

Ngoja niufuailie ule uzi nione ulikubalije tongozo langu.
 
Last edited by a moderator:
Vip cpati hata mmoja wazee tu ndo wanaojitokeza jamani nipo serious kweli
 
Hahahaha...... Kongosho zile zetu za kizeezee hawa madogo ukiwapa zile hawachelewi kubakana.....

Ngoja niufuailie ule uzi nione ulikubalije tongozo langu.

nakubali lakini mpaka nikuone unaweza ujawa unamapenzi ya ukweli mm cjaliwanasemaje najali nampendaje
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom