Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
(This is serious) Mimi mwaume umri miaka 25 nipo Saut mwanza nafuta mpenzi mwenye tabia nzuri ambae tutakuja kuoana nikimaliza chuo mwakani, tuacliana kwa namba 0656179600
Wanaume nao wanatafuta wapenzi kwenye mitandao? Kweli nimeamini vijana wa siku hizi hawajui kutongoza. Hesabu mnasema ngumu, hata kutongoza nako kugumu. Kipi kirahisi sasa? Ptuuu!
kama uko chuoni na unatafuta mchumba JF lazima utakuwa na matatizo. kwa uzoefu wangu chuoni ni sehemu nzuri sana ya kutafutia mchumba. maana ukiwa chuoni unauwezo wa ku earmark watu kadhaa ambao unaona kulingana na vigezo vyako wanaweza kukufaa na ukaanza kumfuatilia mmoja baada ya mwingine mpaka kieleweke. Baada ya muda fulani unakuwa umeshapata jibu. Sasa unatafuta mchumba JF, nikikupigia simu na nikakwambia niko na sifa unazotaka, kisha baada ya mwaka tukaonana ukaona sio vile utarudi tena JF kutafuta mwingine? Acha woga, mwanaume jitume(This is serious) Mimi mwaume umri miaka 25 nipo Saut mwanza nafuta mpenzi mwenye tabia nzuri ambae tutakuja kuoana nikimaliza chuo mwakani, tuacliana kwa namba 0656179600
jamani jamani charlies psmwaume ww hauko serious....................na usipomaliza chuo hutamuoa
Hahahaha...... Kongosho zile zetu za kizeezee hawa madogo ukiwapa zile hawachelewi kubakana.....
Ngoja niufuailie ule uzi nione ulikubalije tongozo langu.