jodamsupply2022
Member
- Aug 3, 2022
- 41
- 86
Tatzo umekua muongo, hao maandishi siyo ya darasa la sabaSifa zangu;
Jinsia: ke
Umri: 27
Dini: mkristo
Kabila: Nyakyusa (nimetaja kabila Ili msiokuwa interested muishie kusoma tu huu Uzi)
Elimu: la saba 'b'
Kazi: sina
Sifa za anayetafutwa;
Jinsia: me
Umri: 30-35
Dini: mkristo
Elimu: yoyote
Kazi: yoyote
Niko dar es salaam, akiwa mikoa ya karibu itapendeza, SITUMIWI NAULI utakuja mwenyewe.
NB: Mimi sio feminist yaani si-support slogan ya 50/50 kwa hiyo anatakiwa mwanaume mwenye kuutumia 'uanaume' wake vizuri.
Inawezekana Rafiki yake alipata mtu sahihi, sasa kaona ni zamu yake [emoji41]Huyu sio Kalpana kweli? mbona DP zinafanana ??
halafu kalpana aliwahi kuja na uzi wa kumtafutia mtu mchumba, nadhani alikosa,
Je, ameamua kurudu kwa ID nyingine?
Namtafutia mchumba (mwanaume) rafiki yangu
Nina friend angu ameniomba nimtafutie mchumba, yeye sio member humu, kuna watu baadhi nimeshamconnect nao wa humu but problem ni umri; yeye ana umri wa miaka 31 na anataka mchumba mwenye umri wa juu yake. Sifa zake; Mweusi Urefu Size ya kati. Ana elimu ya degree. Ana kampuni yake. Ana maisha...www.jamiiforums.com
Wadau tupo ila Hadi tupime kina Cha bahati kwa fimboInawezekana Rafiki yake alipata mtu sahihi, sasa kaona ni zamu yake [emoji41]
Huyo uliemqoute ni uzi wangu mimi kwani kuna nini? Au kuna mtu kaanzisha uzi mwingine kama huu wangu?...rafiki yangu ana miaka 31...alishapata wanaendelea mud tuu.. nawaombea heri..Huyu sio Kalpana kweli? mbona DP zinafanana ??
halafu kalpana aliwahi kuja na uzi wa kumtafutia mtu mchumba, nadhani alikosa,
Je, ameamua kurudu kwa ID nyingine?
Namtafutia mchumba (mwanaume) rafiki yangu
Nina friend angu ameniomba nimtafutie mchumba, yeye sio member humu, kuna watu baadhi nimeshamconnect nao wa humu but problem ni umri; yeye ana umri wa miaka 31 na anataka mchumba mwenye umri wa juu yake. Sifa zake; Mweusi Urefu Size ya kati. Ana elimu ya degree. Ana kampuni yake. Ana maisha...www.jamiiforums.com
Sure rafiki yangu alishapata mkuu..Inawezekana Rafiki yake alipata mtu sahihi, sasa kaona ni zamu yake [emoji41]
fanyeni kazi mtafute pesa zenu siyo kutegemea utupumwenye kuutumia 'uanaume' wake vizuri.
Mwandiko wa kiume kabisa huu ndo doubtttttttttttttttTuanze kwenye urafiki hadi kufikia mpenzi (me)
Sifa zangu;
Jinsia: ke
Umri: 27
Dini: mkristo
Kabila: Nyakyusa (nimetaja kabila Ili msiokuwa interested muishie kusoma tu huu Uzi)
Elimu: la saba 'b'
Kazi: sina
Sifa za anayetafutwa;
Jinsia: me
Umri: 30-35
Dini: mkristo
Elimu: yoyote
Kazi: yoyote
Niko Dar es Salaam, akiwa mikoa ya karibu itapendeza, SITUMIWI NAULI utakuja mwenyewe.
NB: Mimi sio feminist yaani si-support slogan ya 50/50 kwa hiyo anatakiwa mwanaume mwenye kuutumia 'uanaume' wake vizuri.
Kama kweli ni la saba b basi yuko vyediSafi ingawa umeandika muandiko imara sana.Yani very straight and to the points.Hata haurembui kidogo?Ndagha fijo!