Natafuta mpenzi (ME)

Natafuta mpenzi (ME)

Status
Not open for further replies.
Sifa zangu;
Jinsia: ke
Umri: 27
Dini: mkristo
Kabila: Nyakyusa (nimetaja kabila Ili msiokuwa interested muishie kusoma tu huu Uzi)
Elimu: la saba 'b'
Kazi: sina

Sifa za anayetafutwa;
Jinsia: me
Umri: 30-35
Dini: mkristo
Elimu: yoyote
Kazi: yoyote

Niko dar es salaam, akiwa mikoa ya karibu itapendeza, SITUMIWI NAULI utakuja mwenyewe.

NB: Mimi sio feminist yaani si-support slogan ya 50/50 kwa hiyo anatakiwa mwanaume mwenye kuutumia 'uanaume' wake vizuri.
Tatzo umekua muongo, hao maandishi siyo ya darasa la saba
 
Huyu sio Kalpana kweli? mbona DP zinafanana ??

halafu kalpana aliwahi kuja na uzi wa kumtafutia mtu mchumba, nadhani alikosa,

Je, ameamua kurudu kwa ID nyingine?

Huyu sio Kalpana kweli? mbona DP zinafanana ??

halafu kalpana aliwahi kuja na uzi wa kumtafutia mtu mchumba, nadhani alikosa,

Je, ameamua kurudu kwa ID nyingine?

Inawezekana Rafiki yake alipata mtu sahihi, sasa kaona ni zamu yake [emoji41]
 
Huyu sio Kalpana kweli? mbona DP zinafanana ??

halafu kalpana aliwahi kuja na uzi wa kumtafutia mtu mchumba, nadhani alikosa,

Je, ameamua kurudu kwa ID nyingine?

Huyo uliemqoute ni uzi wangu mimi kwani kuna nini? Au kuna mtu kaanzisha uzi mwingine kama huu wangu?...rafiki yangu ana miaka 31...alishapata wanaendelea mud tuu.. nawaombea heri..
Huyu kawek Dp yake hifanani na yangu angalia hata pozi na aina ya nguo..
 
Binafsi nimependa sana maandishi yako uko straight sana afu unaonesha una confidence sana inbox ipo active kweli?
 
Tuanze kwenye urafiki hadi kufikia mpenzi (me)

Sifa zangu;
Jinsia: ke
Umri: 27
Dini: mkristo
Kabila: Nyakyusa (nimetaja kabila Ili msiokuwa interested muishie kusoma tu huu Uzi)
Elimu: la saba 'b'
Kazi: sina

Sifa za anayetafutwa;
Jinsia: me
Umri: 30-35
Dini: mkristo
Elimu: yoyote
Kazi: yoyote

Niko Dar es Salaam, akiwa mikoa ya karibu itapendeza, SITUMIWI NAULI utakuja mwenyewe.

NB: Mimi sio feminist yaani si-support slogan ya 50/50 kwa hiyo anatakiwa mwanaume mwenye kuutumia 'uanaume' wake vizuri.
Mwandiko wa kiume kabisa huu ndo doubttttttttttttttt
 
Summary ya maelezo yako "unatafuta mtu wa kukuhudumia" maneno mengi ya nini?
 
Keta ghwighele kusofu, ighula nise tujhobhe kanunu nkikulu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom