Natafuta mpenzi/mume

Natafuta mpenzi/mume

Huyu c ndo alomliza mwana humu?, mtajitangaza hadi kuliwa tigo, heshimuni vichwa venu, jitu from no where linaanzisha upuuzi, kenge nyie
 
Habari zenu,

naishi Dar es salaam , natafuta mpenzi ambaye baadae anaweza kuwa mume wangu.

WASIFU WANGU
-nina umri wa miaka 23.
-nina stashahada ya uongozi wa biashara kutoka T.I.A
-sina mtoto.

WASIFU WAKE
-Awe mwaminifu na mkweli.
-Asiwe na majivuno na majigambo.
-Asiwe na mke.

PM kwa mazungumzo zaidi.
Ww c ndio waliokusema tapel
 
Dada nimempenda sana. Hana vigezo vya kukatisha tamaaa mn wengine utakuta awe degree Mara bonge Mara vibamia no Mara nn na nn sasa Rosa93 so simple
 
Kumbe tapeli? [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Back
Top Bottom