Bi dentamol
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,018
- 2,130
Vigezo vyote ninavyojua npmHbr zenu
Nami leo natafuta mpenzi nimechoka na huu upweke
Mi ni ke nina 27 ni mweupe na mrefu kiasi sio mnene wala mwembamba
Naishi kanda ya ziwa ni msukuma pia mi nimuuguzi wa afya.
Sifa za mpenzi/sweet
asiwe mweusi saana...maji ya kunde au mweupe sawa tu
awe anaishi kanda ya ziwa...hii iwe rahisi kuwa karibu
Awe anafanya kazi halali ya kumwingizia kipato
Umri kuanzia 31 na kuendelea
Awe mrefu
Mchana mwema woote
Nina vigezo vyote.......karibu sana pm...!Habari zenu,
Nami leo natafuta mpenzi nimechoka na huu upweke.
Mimi ni ke nina 27 ni mweupe na mrefu kiasi sio mnene wala mwembamba.
Naishi Kanda ya ziwa ni msukuma pia mi nimuuguzi wa afya.
Sifa za mpenzi/sweet;
Asiwe mweusi sana, maji ya kunde au mweupe sawa tu.
Awe anaishi Kanda ya ziwa, hii iwe rahisi kuwa karibu.
Awe anafanya kazi halali ya kumwingizia kipato.
Umri kuanzia 31 na kuendelea.
Awe mrefu.
Mchana mwema wote
Ukiwa unatafuta niambie......................Kila la kheri kipenzi, Mungu akupe haja ya moyo wako.
Hahaha siku ile si ulinikata wewe, yani bila hata huruma. Au utanitafutia?Ukiwa unatafuta niambie......................
u never know..........Hahaha siku ile si ulinikata wewe, yani bila hata huruma. Au utanitafutia?
Basi I'll let you know.........u never know..........
Nina vigezo vyote.......karibu sana pm...!
Nimepungukiwa na sifa moja ya umri, sijui nifanyeje hapo.
Mkuu, hebu ni pm tuwasiliane vizuri.
Hebu acheni hizo mfuateni nyinyi huko PM.Vigezo vyote ninavyojua npm
Zamani......ila kigezo cha exposure kilikuwa tatizo kidogo ikabidi ni-compromise....taratibu tutafika tu:
We umeshapata??
Ulivyo mweusi jamaniiii...kasema anataka kitu white halafu mrefu. Wewe ni mfupi best.sifa zote ninazo lakini nafiti sana kuwa rafiki tu!