Natafuta mpenzi, upweke umenichosha

Natafuta mpenzi, upweke umenichosha

Habari zenu,

Nami leo natafuta mpenzi nimechoka na huu upweke.

Mimi ni ke nina 27 ni mweupe na mrefu kiasi sio mnene wala mwembamba.

Naishi Kanda ya ziwa ni msukuma pia mi nimuuguzi wa afya.

Sifa za mpenzi/sweet;
Asiwe mweusi sana, maji ya kunde au mweupe sawa tu.

Awe anaishi Kanda ya ziwa, hii iwe rahisi kuwa karibu.

Awe anafanya kazi halali ya kumwingizia kipato.

Umri kuanzia 31 na kuendelea.

Awe mrefu.

Mchana mwema wote
Ukampata msukuma, Leo umemchoka unataka kumwacha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mke ni mke tu, atapendwa kokote duniani,
mwanaharakati hajapata kitu kakosa support ktk uzi wake! lkn ktk uzi huu ''me'' wachangiaji ni wengi tena wako serious japo km wanatania vile, mleta uzi huu na ule mwingine ni mmoja, amejitanabaisha kwa jinsia tofauti, anakamilisha tafiti!!!
 
Habari zenu,

Nami leo natafuta mpenzi nimechoka na huu upweke.

Mimi ni ke nina 27 ni mweupe na mrefu kiasi sio mnene wala mwembamba.

Naishi Kanda ya ziwa ni msukuma pia mi nimuuguzi wa afya.

Sifa za mpenzi/sweet;
Asiwe mweusi sana, maji ya kunde au mweupe sawa tu.

Awe anaishi Kanda ya ziwa, hii iwe rahisi kuwa karibu.

Awe anafanya kazi halali ya kumwingizia kipato.

Umri kuanzia 31 na kuendelea.

Awe mrefu.

Mchana mwema wote

Karibu Pm vigezo vyote ninavyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Picha hiyo
45678901.jpg
 
Duu ubaguzi was rangi umenikosesha mke!ungeondoa kigezo hcho tuu ninge kuoa naamini ikifika miaka 30+ utapunguza vigezo hvyo.
 
Habari zenu,

Nami leo natafuta mpenzi nimechoka na huu upweke.

Mimi ni ke nina 27 ni mweupe na mrefu kiasi sio mnene wala mwembamba.

Naishi Kanda ya ziwa ni msukuma pia mi nimuuguzi wa afya.

Sifa za mpenzi/sweet;
Asiwe mweusi sana, maji ya kunde au mweupe sawa tu.

Awe anaishi Kanda ya ziwa, hii iwe rahisi kuwa karibu.

Awe anafanya kazi halali ya kumwingizia kipato.

Umri kuanzia 31 na kuendelea.

Awe mrefu.

Mchana mwema wote
Ngoja waje
 
Mrejesho
 
Duh hii Dunia ndogo sana.
 
Back
Top Bottom