Natafuta mpenzi, upweke umenichosha

Enzi zangu bahati km hizi nazitumia vilivyo
 
Halafu mbona nilikuomba nikutoe out serena ukanichunia? Au kabanga alikuzuia?
 
Dada niko tayari ila kwasasa niko masomon nje ya nchi ila nategemea kuja bongo hivi karibun una email au whatsapp tuwasiliane?
 
Kwahiyo ww unataka mfanyakazi hutaki wajasiriamali.. Duuuh
 
Wadada wanaotafta wenza wengi wanatokea kanda ya ziwa vipi mangosha tatizo liko wapi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…