Natafuta mpenzi wa kike atakayenikubali katika hali yangu duni

antar100

Member
Joined
Feb 8, 2020
Posts
26
Reaction score
31
Sina kazi,sina pesa, sina msichana wala mke ila nina hofu na Mungu na nataman sana kupata mwenza kikwanzo kazi sina.

Elimu form 6 naishi kucheza mpira ndondo wanaita, na kuwa kibarua wa fundi wa kujenga nyumba umli 28 nahitaji mwenza atakaye kubali kuwa na mimi awe serious mimi ni half cast ila sina kigezo cha kuchagua mke muhimu awe ana mapenz na amechoka ujana na awe na hofu ya Mungu la pili awe tayari kucheki afya. Ila sina hela nasisitiza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu ukiwa maskini lazima uwe na hofu ya MUNGU maana akikuchukua utaenda kumweleza nn ulichofanya Duniani ? maskini wote lazima hofu iwajaee. ila pole kwa yote maana hali duni kila mmoja kwa nafasi yake. itakuwa ni muujiza wa kipekee sana kama kuna mwanamke atakayejitokeza.
 
Sijui kwanini tu nahisi huenda unawapima tu imani hawa viumbe.
Huenda uliyoyaandika sivyo yalivyo.
 
Back
Top Bottom