Natafuta mpenzi wa kike atakayenikubali katika hali yangu duni

Natafuta mpenzi wa kike atakayenikubali katika hali yangu duni

Sina kazi,sina pesa, sina msichana wala mke ila nina hofu na Mungu na nataman sana kupata mwenza kikwanzo kazi sina.

Elimu form 6 naishi kucheza mpira ndondo wanaita, na kuwa kibarua wa fundi wa kujenga nyumba umli 28 nahitaji mwenza atakaye kubali kuwa na mimi awe serious mimi ni half cast ila sina kigezo cha kuchagua mke muhimu awe ana mapenz na amechoka ujana na awe na hofu ya Mungu la pili awe tayari kucheki afya. Ila sina hela nasisitiza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Leta feedback, kuna mtu anaitwa financial alisema anakuja, Je, alitokea kweli ?.
 
Sasa mchumba familia utaihudumiaje maana sio kwa msisitizo huo!!
 
Back
Top Bottom