Utasubiri sana kama wee ni "duni"
mkuu ukiwa maskini lazima uwe na hofu ya MUNGU maana akikuchukua utaenda kumweleza nn ulichofanya Duniani ? maskini wote lazima hofu iwajaee. ila pole kwa yote maana hali duni kila mmoja kwa nafasi yake. itakuwa ni muujiza wa kipekee sana kama kuna mwanamke atakayejitokeza.Sina kazi,sina pesa, sina msichana wala mke ila nina hofu na Mungu na nataman sana kupata mwenza kikwanzo kazi sina.
Elimu form 6 naishi kucheza mpira ndondo wanaita, na kuwa kibarua wa fundi wa kujenga nyumba umli 28 nahitaji mwenza atakaye kubali kuwa na mimi awe serious mimi ni half cast ila sina kigezo cha kuchagua mke muhimu awe ana mapenz na amechoka ujana na awe na hofu ya Mungu la pili awe tayari kucheki afya. Ila sina hela nasisitiza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni mkulima mzalendo.Nenda lumumba kaajiriwe na chakubanga wenzako kina stroke @wadadavua johnthebaptist jingalao etc wanalamba buku7 daily
[emoji1787][emoji1787] [emoji1787]Nakuja mkuu, tutakula hata bamia muhimu upendo tu, ila half cast wa wapi na wapi, au wa kinyakyusa na kingoni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Fursa hiiHela huna unataka ukampime mtu ukimwi(joke)......
Nipo hapa kama upo tayari tuungane nikupeleke shambani ukasimamie mashamba ya vitunguu.... Tutainuana kibabe
Sent using Jamii Forums mobile app
Fursa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Fursa hii