Natafuta mpenzi wa kike atakayenikubali katika hali yangu duni

Hela huna unataka ukampime mtu ukimwi(joke)......

Nipo hapa kama upo tayari tuungane nikupeleke shambani ukasimamie mashamba ya vitunguu.... Tutainuana kibabe

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo maneno ya dharau, kwa hiyo kama hana hela ndio hatakiwi kumtaka mtu akapime ??, nimeshangaa
 
Leta feedback, kuna mtu anaitwa financial alisema anakuja, Je, alitokea kweli ?.
 
Sasa mchumba familia utaihudumiaje maana sio kwa msisitizo huo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ