[emoji1] [emoji1] [emoji1] sawa mkuuUtanisamehe kama utapata tafsiri hasi,kule kwenye jukwaa la love connect (JF) kuna watu wengi wenye mahitaji kama yako nikiwa na maana utakuta mabinti wengi wanaosaka wenza nadhani ni vyema ili kupunguza huu mtafutano ungetembelea kule alafu ukafanya uchaguzi sahihi nimeona thread nyingi naamini hauwezi kukosa mti sahihi kule ila mukifanikiwa tuleteeni mrejesho ili tujue maana mnapotelea hewani tu.
hata mi nashangaa..hataj lkn kwa wandiko wake ni atakuwa ana dudu uyu [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jinsia ni muhimu taja mkuu
Mkuu, leo umeniangusha sana....Jinsia ni muhimu taja mkuu
Hahaha ushi haha.Mkuu, leo umeniangusha sana....
Yaani umeshindwa kung'amua rangi ya muandiko kama niwa Ke au Me...[emoji45] [emoji45]
You can't be serious.....
Mkuu usimkosoe sometimes mazingira unayoishi inaweza ukakosa mwenye vigezo unavyohitaji pia wadau wengine wako busy sana na kazi unakuta kila siku anatoka saa 11 asbh na kurudi saa 3 uck j'3- ijumaa na weekend anakuwa busy na mambo ya usafi na vitu vingine kwa hiyo anakuwa na limited time ya kumeet na girls kwa hiyo kupata mke inakuwa shida.Miaka 30...huko kgamboni hamna wadada wanaotaka waume wa kuishi nao?!
Wapo mkuu ila sijawwza kuwambia kitu maana ndo kwanza nimekuja kikazi.....Miaka 30...huko kgamboni hamna wadada wanaotaka waume wa kuishi nao?!
[emoji85] [emoji85] [emoji85]hata mi nashangaa..hataj lkn kwa wandiko wake ni atakuwa ana dudu uyu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nifate pm nikutupie picha yanguMuwe mnawekaga na picha
Ww ni domo zege?!Wapo mkuu ila sijawwza kuwambia kitu maana ndo kwanza nimekuja kikazi.....
Nimekuja hapa kwa urahisi zaidi.