hosh kosh
JF-Expert Member
- Mar 2, 2017
- 748
- 572
duu..uchezei fursaNifate pm nikutupie picha yangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duu..uchezei fursaNifate pm nikutupie picha yangu
Muwe mnawekaga na picha
Yeye anataka picha niweke hadharani kwannduu..uchezei fursa
Ndio mkuu na ndio Nika type mda mwingi kuliko kuongeaWw ni domo zege?!
aaah iyo pm bhn..sa huku inatuhusu nn..Yeye anataka picha niweke hadharani kwann
Kama huwezi kuongea utaishia kupiga mabao ya maradonaNdio mkuu na ndio Nika type mda mwingi kuliko kuongea
Sasa wewe ni karot au ni shida na raha? hapa ndio unatuponza tuonekane wanaume ni waongo mkuuWakuu habari za mihangaiko ya kutwa nzima.
Napenda kuwasilisha mada yangu hapa mezani lengo lango niko serious kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.....
Ni kijana mwenye umri wa miaka 30 kwasasa nipo Dar Kigamboni niko na kazi yangu ila sitoitaja hapa kwa yule ambae yuko serious kama mimi ani pm tuzungumze maswali na majibu yote yatapatikana.
Wapo mkuu ila sijawwza kuwambia kitu maana ndo kwanza nimekuja kikazi.....
Nimekuja hapa kwa urahisi zaidi.
Nifate pm nikutupie picha yangu
Miiii pia nkawa najiuliza ivyo ivyoSasa wewe ni karot au ni shida na raha? hapa ndio unatuponza tuonekane wanaume ni waongo mkuu
Ukiwa hivi uwe na mawe yakutosha basi
Sio handsome?!Ukiwa hivi uwe na mawe yakutosha basi
Handsome pesa tuSio handsome?!
Ww sema hutaki kunipa mbututu nile tuHandsome pesa tu
Mwanawane bila pesa utabaki kutuita dada/shemejiWw sema hutaki kunipa mbututu nile tu
SawaMwanawane bila pesa utabaki kutuita dada/shemeji
kaaaaazi kweli kwelMwanawane bila pesa utabaki kutuita dada/shemeji