Natafuta mpenzi wa kuishi nae niko serious

Miiii pia nkawa najiuliza ivyo ivyo
Uyu itakua amejiunga na jina jipya kwa ajili ya shughuli hii
Ok wacha nikutowe wasi wasi mimi na shida na raha ni watu wawili tofauti lakini no watani sana na ni shemeji yangu.
Kuna siku ye mwenyewe alimsababishia mshana jr kuonekana ni mmoja, ilichukua mda watu kuamini hicho ila uthibitisho anao mshana na alinambia walishawahi kuonana n wakapiga stori. Sasa basi kwa mpango hata hapo hamtaamini kwa anavyopenda kunitania sana na mpaka nakosa raha, narudia tena shida na raha ni watu wawili tofauti na ndie alienishawishi kujiunga. Mshana njoo uwaaminishe hili.
 
Kama nina miaka 30+ kipindi chote cha makuzi kitaa na shule nimekosa mtu,. Nawezaje kupata jf mtu sahihi.
Unapata ukiwa serious na unaemtafuta akiwa tayari
 
Kwenye hiyo kazi yako ya uvuvi hapo kigamboni huwa mara nyingi unafanikiwa kukamata samaki aina gani mkuu?
 
Ok wacha nikutowe wasi wasi mimi na shida na raha ni watu wawili tofauti lakini no watani sana na ni shemeji yangu.
Kuna siku ye mwenyewe alimsababishia mshana jr kuonekana ni mmoja, ilichukua mda watu kuamini hicho ila uthibitisho anao mshana na alinambia walishawahi kuonana n wakapiga stori. Sasa basi kwa mpango hata hapo hamtaamini kwa anavyopenda kunitania sana na mpaka nakosa raha, narudia tena shida na raha ni watu wawili tofauti na ndie alienishawishi kujiunga. Mshana njoo uwaaminishe hili.
mshana jr kamu hiya puliz
 
Hv huwa mnapataga kweli??

Kuna binti anaitea ISIS NADHAN ipo siku nami nijalibu tuyajenge

Mitandaon namo
 
na uende ukapate hitaji la moyo wako....Mungu akubariki sana ndugu yangu.
 
Hitaji la moyo huwenda nikalikosa maana sijapata hata mmoja alienipa moyo, ila basis sitaki kuumiza kichwa wacha niwe buzy na Nazi za watu kwanza
 
haahaaa....njoo nikupe lakini kwa kujificha...joks
 
Wakuu habari za mihangaiko ya kutwa nzima.
Napenda kuwasilisha mada yangu hapa mezani lengo lango niko serious kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.....
Ni kijana mwenye umri wa miaka 30 kwasasa nipo Dar Kigamboni niko na kazi yangu ila sitoitaja hapa kwa yule ambae yuko serious kama mimi ani pm tuzungumze maswali na majibu yote yatapatikana.
njoo in box
 
Wee wa kike au kiume
 
Back
Top Bottom