Natafuta mpenzi wa kuishi nae niko serious

Natafuta mpenzi wa kuishi nae niko serious

Muwe mnawekaga na picha
7dfe72f6b666de558bd075d1f1941216.jpg
 
Jamani wachumba mnachezea fursa, fursa haiji Mara mbili walio wengi wanadhani masihara ila atakuja kuitaka nafasi mmoja wao vyumba itakua vimejaa.
 
Wakuu habari za mihangaiko ya kutwa nzima.
Napenda kuwasilisha mada yangu hapa mezani lengo lango niko serious kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.....
Ni kijana mwenye umri wa miaka 30 kwasasa nipo Dar Kigamboni niko na kazi yangu ila sitoitaja hapa kwa yule ambae yuko serious kama mimi ani pm tuzungumze maswali na majibu yote yatapatikana.
Sasa wewe ni karot au ni shida na raha? hapa ndio unatuponza tuonekane wanaume ni waongo mkuu

Wapo mkuu ila sijawwza kuwambia kitu maana ndo kwanza nimekuja kikazi.....
Nimekuja hapa kwa urahisi zaidi.

Nifate pm nikutupie picha yangu
 
Sasa wewe ni karot au ni shida na raha? hapa ndio unatuponza tuonekane wanaume ni waongo mkuu
Miiii pia nkawa najiuliza ivyo ivyo
Uyu itakua amejiunga na jina jipya kwa ajili ya shughuli hii
 
Kama nina miaka 30+ kipindi chote cha makuzi kitaa na shule nimekosa mtu,. Nawezaje kupata jf mtu sahihi.
 
Unatafuta mpenz!! Aliye kuambia mpenz anatafutwa ni nani? Mpenz huja mwenyewe so wait for your time zone
 
Back
Top Bottom