Natafuta mpenzi wa miaka 50-60

Natafuta mpenzi wa miaka 50-60

Anne Maria

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2012
Posts
399
Reaction score
98
nina miaka 28
chubby 80kgs
urefu wangu 160cm
maji ya kunde
nimeajiriwa na NGO
napenda mzee kuanzia miaka 50-60 ambaye hana mke(mjane) awe na watoto wakubwa na wajukuu pia ni sawa tuu, kawe kanene kafupi, au mwembamba mrefu mweusi mweupe maji kunde vyovyote tuu sawa kwangu
napenda tufurahie maisha pamoja, nimpikie, nisali nae, tuongee maisha na kufurahia pamoja
karibuni sana...
NB kupima afya muhimu!!!!
 
Wataka kulelewa? na hiyo age group hawaingii humu
 
watafute kanisani...maana huo umri ni maungamo kwa kwenda mbele....kweli wanawake tuko tofauti........au ushatendwa sana weye?:target:
 
Wataka kulelewa? na hiyo age group hawaingii humu

kulelewa si kubaya pia ila nataka kutulia zaidi na mzee wa ukweeel
huwa hawaingii kwanini jamani,,, basi ngoja nikatafute tuu kwingine
 
watafute kanisani...maana huo umri ni maungamo kwa kwenda mbele....kweli wanawake tuko tofauti........au ushatendwa sana weye?:target:
jamani jamani kwani kasema nani wanakaribia kufa hayo si ya Mungu kupanga,, teh teh teh teh but ngoja nifate ushauri wako nikawasake kanisani.... kweli tumetofautiana kiukwel kutendwa nadhani kila mtu ashawahi jamani ni interest tuuu bidada
 
Anne Maria ... avatar yako ... !!! Niambie kidogo kuihusu ... then you will have ma word!!
 
kulelewa si kubaya pia ila nataka kutulia zaidi na mzee wa ukweeel
huwa hawaingii kwanini jamani,,, basi ngoja nikatafute tuu kwingine

Wasikukatishe tamaa Anna, niko hapa.... angalia PM, yaani umenifurahisha kwa kuataka kazee kanene kafupi kama mimi:A S 41:
 
Sasa Anne hio 160cm (average kwa mwanamke ni mtu mrefu) sasa wewe unapenda partner wako mwanaume awe mfupi kuliko wewe

Alafu nadhani for 160cm woman; 80kgs aint chubby, lets just call it large..

Anyway all the best.., I hope utapata mtu that you can watch the sunset and sunrise together, and tell each other sweet nothings
 
Wazee hawanaga tabia ya kuwastress wenzao,full kurelax,all the best..
 
Anne Maria ... avatar yako ... !!! Niambie kidogo kuihusu ... then you will have ma word!!

the masai woman with the baby,, i cant get enough of looking at them.....now am waiting 4 ur word ofcourse
 
Wasikukatishe tamaa Anna, niko hapa.... angalia PM, yaani umenifurahisha kwa kuataka kazee kanene kafupi kama mimi:A S 41:

hahahaha Kiraka am soo touched yaani am glad upo mwenye vigezo nivitakavyoo thank u.....tutaonana PM room
 
Back
Top Bottom