Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,097
nina miaka 28
chubby 80kgs
urefu wangu 160cm
maji ya kunde
nimeajiriwa na NGO
napenda mzee kuanzia miaka 50-60 ambaye hana mke(mjane) awe na watoto wakubwa na wajukuu pia ni sawa tuu, kawe kanene kafupi, au mwembamba mrefu mweusi mweupe maji kunde vyovyote tuu sawa kwangu
napenda tufurahie maisha pamoja, nimpikie, nisali nae, tuongee maisha na kufurahia pamoja
karibuni sana...
NB kupima afya muhimu!!!!
Ushawasiliana na babu? Nishaku PM number yake na email adress.
