Natafuta mpenzi wa miaka 50-60

Natafuta mpenzi wa miaka 50-60

Sasa Anne hio 160cm (average kwa mwanamke ni mtu mrefu) sasa wewe unapenda partner wako mwanaume awe mfupi kuliko wewe

Alafu nadhani for 160cm woman; 80kgs aint chubby, lets just call it large..

Anyway all the best.., I hope utapata mtu that you can watch the sunset and sunrise together, and tell each other sweet nothings

hahaha Sun Wu thank you for wishing me well,, am so tempted to pm you...
 
hahaha Sun Wu thank you for wishing me well,, am so tempted to pm you...
🙂 Thanks lakini does it mean the qualities of men btn 50-60 haziwezi kupatikana on a younger age ?, au like good wine some things gets better with time ?
 
Dah! basi poa anne nakutakia kila la kheri umpate kibabu wa ukweli
 
ndugu yangu inaonekana haujiwezi kimapenzi ndo maana inaitaji mzee vp vijana wenzio hawapo?
 
Babu yangu yupo na anahtaji mtu wa kuishi naye.....Usijali anne maria naku pm namba zake za simu
 
Last edited by a moderator:
Jaman, ishu ni mirathi au?Hope ur not 'gold digger' otherwise, waache wazee wa watu, wajukuu wanawahtaj kwa ajl ya kcheza nao!
 
🙂 Thanks lakini does it mean the qualities of men btn 50-60 haziwezi kupatikana on a younger age ?, au like good wine some things gets better with time ?
men of that Age are special in a way a younger man would never be... and yes wine tastes better when its old... teh teh teh teh
 
Jaman, ishu ni mirathi au?Hope ur not 'gold digger' otherwise, waache wazee wa watu, wajukuu wanawahtaj kwa ajl ya kcheza nao!
hahahahah u actually made me smile when i was reading ur comment,,,, am soo far from being a gold digger,,, i have everything i need and enough cash,, just need an older more matured man to spend the rest of my life with,,, no offence for younger men either:smile:
 
ndugu yangu inaonekana haujiwezi kimapenzi ndo maana inaitaji mzee vp vijana wenzio hawapo?
Najiweza kuliko unavyodhani nyangoto,,, naa wewe nani kakwambia wazee hawajiwezi mmmhh??? i like it slow very slow and long like how the old men know how to give it!! teh teh teh teh:smile:
 
Kwa mwanaume miaka 50 ni mtu wa kuoa kabinti na kuzaa nako watoto hata nane! Sema tu nyota ya kijani itambana lakini otherwise miaka 50 ni umri wa kawaida tu.

Nakubaliana na wewe kabisa na ni kweli miaka 50 kwangu mimi is still sexy and not so old.... besides old is gold.. thanks
 
nina miaka 28
chubby 80kgs
urefu wangu 160cm
maji ya kunde
nimeajiriwa na NGO
napenda mzee kuanzia miaka 50-60 ambaye hana mke(mjane) awe na watoto wakubwa na wajukuu pia ni sawa tuu, kawe kanene kafupi, au mwembamba mrefu mweusi mweupe maji kunde vyovyote tuu sawa kwangu
napenda tufurahie maisha pamoja, nimpikie, nisali nae, tuongee maisha na kufurahia pamoja
karibuni sana...
NB kupima afya muhimu!!!!

nitafute kwa mail-jacmikera@gmail.com
 
Yanatafutwa mabuzi ya kuchunwa kiulaini.
 
Back
Top Bottom