kampelewele
JF-Expert Member
- Oct 13, 2014
- 2,975
- 2,370
Kwani married hawawezi kuwa na marafiki? Ati pemba ohoo unguja ?Nyie wanaume masingle umu mkuje... Kipepeo uyo kajitokeza
Ninyi ndo mnaivuruga JF leo unguja unatafuta mume, juzi unguja ulikuwa inatafuta mke.Habarini za asubuhi wandugu,
Kwa yeyote mwenye hitaji kama langu naomba tuwasiliane pm. Mimi ni Ke age btn 26 -28. Nipo Dar kabila mchaga dini christian.
Mwanaume ninayemtaka awe na age at least kuanzia 30 and above awe na shughuli rasmi ya kumuingizia kipato na awe anaishi Dar.
Mengine tuongee pm
Na wewe uku watafuta nn[emoji4] [emoji4] [emoji4]Pole[emoji27]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji100]Na wewe uku watafuta nn[emoji4] [emoji4] [emoji4]
[emoji4]Life isn't fair ukiwa kijana una stress za kupata mke/mme ukiwa mzee unaanza kufikiria watoto wako wataoa/wataolewa na nani kwanini lakini,nimejiwazia tu.
Mm kanitisha umr wake 26-28 ndo nin hicho,Natafuta msichana kwa malengo ya kuanzisha familia pamoja
Ña hii ni yako pia
Ww ni balaa jinsia yako inabadilika kila baada ya mwezi
Kuwa mpole huku...mods wanagawa ban kama karanga huku..Hii thread ndo imesababisha my Shunie apate ban [emoji34] [emoji34] [emoji34]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100]Kuwa mpole huku...mods wanagawa ban kama karanga huku..
moderators come this way pleaseee...Natafuta msichana kwa malengo ya kuanzisha familia pamoja
Ña hii ni yako pia
Ww ni balaa jinsia yako inabadilika kila baada ya mwezi
Nasubir nawewe, ntakua wa kwanza pm[emoji26][emoji26]Nyie wanaume masingle umu mkuje... Kipepeo uyo kajitokeza
Ungelikuwa karibu ningelikupa moja bariiiiiidiiiiimnawapiga ban shuni na bony...while they done nothing wrong...
ban za kionevu kama hizi not fair at all...Na wewe uku watafuta nn[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Alafu sijaona comment ya kupewa ban hapo! Au mimi naona vibayamnawapiga ban shuni na bony...while they done nothing wrong...
inakera bwanaa...yaani hiyo jinsia ina hasi na chanya au...??!!!!!aaahhhh!Ungelikuwa karibu ningelikupa moja bariiiiiidiiiii
wanasema wameingiza vitu visivyotakiwa kwenye thread ya mtu mwingine Ila kama hayuko serious yy mwenyewe je!Alafu sijaona comment ya kupewa ban hapo! Au mimi naona vibaya
Okey...! Nimekupata mkuuwanasema wameingiza vitu visivyotakiwa kwenye thread ya mtu mwingine Ila kama hayuko serious yy mwenyewe je!