Natafuta mpenzi

Natafuta mpenzi

Habarini za asubuhi wandugu,

Kwa yeyote mwenye hitaji kama langu naomba tuwasiliane pm. Mimi ni Ke age btn 26 -28. Nipo Dar kabila mchaga dini christian.

Mwanaume ninayemtaka awe na age at least kuanzia 30 and above awe na shughuli rasmi ya kumuingizia kipato na awe anaishi Dar.

Mengine tuongee pm
Ninyi ndo mnaivuruga JF leo unguja unatafuta mume, juzi unguja ulikuwa inatafuta mke.

Tukueleweje?

Kuwa serious hii forums ina heshima yake aisee!
 
"]Natafuta msichana kwa malengo ya kuanzisha familia pamoja[/URL]
Ña hii ni yako pia
Ww ni balaa jinsia yako inabadilika kila baada ya mwezi[[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Life isn't fair ukiwa kijana una stress za kupata mke/mme ukiwa mzee unaanza kufikiria watoto wako wataoa/wataolewa na nani kwanini lakini,nimejiwazia tu.
 
mods acheni double standards nani alipaswa apewe ban?!!mtoa mada anacheza na akili zetu...nyie mnamuachia yy mwenyewe anaonyesha hayuko serious na hii kutafuta mpenzi maana mwanzo alitafuta mpenzi wa kike

Leo wa kiume ndo maana wengine wakaona bora wafanye yao...

hayuko serious huyu mshikaji labda asema ana jinsia mbili(ashakum si matusi)
 
Na wewe uku watafuta nn[emoji4] [emoji4] [emoji4]
ban za kionevu kama hizi not fair at all...

this person is playing with our mind...they r the one who make some people to disgrade love connect..

if he or she wants this pranks ,she should go to jokes rooms or chit chat not here where some people found the husbands or wife to build their future...
 
Back
Top Bottom