Madam vivian original
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 503
- 997
Naelewa mkuu, ila humu sio pakua serious SNA huwezi tafuta mwenza sahihi humu kila MTU ana stress zake.Pole jamani.Usiwe unajiwekea kanuni za kudumu kwenye mambo ya kijamii,yapo tata sana.Humu kuna wezi na watu wema na wengine vuguvugu. Sasa kufanikiwa ama kutofanikiwa hicho ni kitu kingine,hata nje ya mtandao/JF bado changamoto ya kufanikiwa ni kubwa tu.
Sisi ndiyo binadamu.Viumbe watata
Ahsante nipo kutoa ushauri, na kubadilishana mawazo.
Vizuri Sana madamAhsante nipo kutoa ushauri, na kubadilishana mawazo.
Sihitaji kuyajenga maana ya kwangu nilishayajenga muda mrefuu tu bulazaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa madam huoni kama ulitutesa kihisia. Sisi tunakuja pm tukijua tumepata wakutuweka mjini, tunaaga kabisa nyumbani,tunaaga marafiki zetu, tuna kuja pm na mahisia yote, chamkongo kishawasha moto wa ganzi kwenye mushedede mutukutu alafu wewe madam unatania kha! Nina haki ya kukushitaki kwa unyanyasaji wa kihisia.Mwisho nilimalizia na just a jokes, sababu najua, nisehemu ya mizaha na ukiwa bored ukiingia humu lazima ucheke tu, tupo kuhave fun
Natafuta kiben ten - JamiiForums
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahah poleeee,Sasa madam huoni kama ulitutesa kihisia. Sisi tunakuja pm tukijua tumepata wakutuweka mjini, tunaaga kabisa nyumbani,tunaaga marafiki zetu, tuna kuja pm na mahisia yote, chamkongo kishawasha moto wa ganzi kwenye mushedede mutukutu alafu wewe madam unatania kha! Nina haki ya kukushitaki kwa unyanyasaji wa kihisia.
Haya sasa nataka chenji ya chamkongo maana niliteseka wiki mbili kwajiri yako. Mushedede mutukutu anataka kudinya wewe unambania fatuma wako''
Fany kurudisha pesa ya mkongo. Nilikopa
Madam vivian original
Sent using Jamii Forums mobile app