Natafuta/mpenzi

Natafuta/mpenzi

Pole jamani.Usiwe unajiwekea kanuni za kudumu kwenye mambo ya kijamii,yapo tata sana.Humu kuna wezi na watu wema na wengine vuguvugu. Sasa kufanikiwa ama kutofanikiwa hicho ni kitu kingine,hata nje ya mtandao/JF bado changamoto ya kufanikiwa ni kubwa tu.

Sisi ndiyo binadamu.Viumbe watata
Naelewa mkuu, ila humu sio pakua serious SNA huwezi tafuta mwenza sahihi humu kila MTU ana stress zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwisho nilimalizia na just a jokes, sababu najua, nisehemu ya mizaha na ukiwa bored ukiingia humu lazima ucheke tu, tupo kuhave fun

Natafuta kiben ten - JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa madam huoni kama ulitutesa kihisia. Sisi tunakuja pm tukijua tumepata wakutuweka mjini, tunaaga kabisa nyumbani,tunaaga marafiki zetu, tuna kuja pm na mahisia yote, chamkongo kishawasha moto wa ganzi kwenye mushedede mutukutu alafu wewe madam unatania kha! Nina haki ya kukushitaki kwa unyanyasaji wa kihisia.

Haya sasa nataka chenji ya chamkongo maana niliteseka wiki mbili kwajiri yako. Mushedede mutukutu anataka kudinya wewe unambania fatuma wako''

Fany kurudisha pesa ya mkongo. Nilikopa

Madam vivian original

Hahahahah poleeee,
Jaman uwe unajikaza naww Trump

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom