Natafuta mpishi wa pilau na maharage, ambae nitamlipa kwa kila pishi

Napoleone

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
10,085
Reaction score
16,064
Wakuu,ubachela ni mzigo,huwez amini sijala maharage mwez wa pili huu unakatika,namii ni mpenz wa hii kitu vbaya mnoo..na kingne ni pilau..

Nataka mtu ananipikia hvi vyakula hata vya wiki nzima vkae kwenye fridge ,nifanye kukata kachumbar tuu na kukaanga nyama.

Ntamlipa vzur,yaan ofa yake nitai double..

Madem zangu stak kuwapa jukum hili wasije wakadhania nawaandaa kua wake
Stak fanya hyo dhambi.

Uzi tayari.
 
Mbona Pilau na ndondo vinapatikana kwenye migahawa? Nenda kanunue huko ukale.
 
eee mahaba linakuwa jekundu jekundu hivi, halafu siku hizi kuna pilau amaizing sana rangi zinavutia hatari, siyo pilau jeusi jeusi mi sipendi.
amu weka tupicha basi kusapoti ujuzi wako.
 
Kwani mwanamke kukupikia Ndo ishara ya kuwa mke??? Sema hawajui kupika aisee...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi hapa Niko tayari
 
Watu kama wote mkuu, idadi yoyote nipe tenda basi hutojutia.

Unaweza kupika msosi wa watu wangapi
Kwani mwanamke kukupikia Ndo ishara ya kuwa mke??? Sema hawajui kupika aisee...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
rikiboy itakuwa wanampikia na zile pilau masala za gengeni packt sh mia, mbayaaa.
 
Huyu jamaa atakuwa alikuwa na njaa kanichekesha sana.
Hahaha alikuwa na njaa na amevikosa hivi vyakula kwa muda mrefu, embu mpikie hiyo pilau mimi nitamcheck na maharage.
 
Watu kama wote mkuu, idadi yoyote nipe tenda basi hutojutia.



rikiboy itakuwa wanampikia na zile pilau masala za gengeni packt sh mia, mbayaaa.
Kabisa...[emoji23][emoji23][emoji23]Yani demu wako awe fundi wa kupika kama wangu[emoji39][emoji39][emoji39]alafu utafute mpishi mwingnr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…