Mbwa dume
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 6,289
- 10,998
Njoo Pm mi mwenyewe nahitaji mpishiUtanilipa sh ngapi? na uwe unakuja kufata mwenyewe chakula.
Ndo tender zangu hizo nitakupikia pilau na matandu yake nitakuwekea.
Njoo Pm mi mwenyewe nahitaji mpishiUtanilipa sh ngapi? na uwe unakuja kufata mwenyewe chakula.
Ndo tender zangu hizo nitakupikia pilau na matandu yake nitakuwekea.
kwanza tuanzie hapo kwenye juice,ya ukwaju,maana mi sabab ya kula fastfoods hua na ma constipation ya hatar,niliambiwa juice ya ukwaju ndo dawa ,yaan kitu inatoka lain kama ya mtoto,ila sasa juice za uswaz ukwaju unakua diluted sana,..
Ndugu hii id yako imenitisha bwana ila mimi Napika tu unakifata au namtuma mtu anakuletea mkuu,Njoo Pm mi mwenyewe nahitaji mpishi
Dah mimi mwenyewe nimemis wali mchafu, huku Tandahimba unaweza kuja..??Nimecheka kifala, yaani hoi ni kweli haifai wasiojua kupika ndo wanatumia hayo, halafu siku ya kwanza nitakupikia aina 2 za pilau jeusi na kama la njano njano fulani utachagua ipi maana naona unapenda jeusi, naimani hujalionja la njano njano kwanza rangi yenyewe inavutia, achana na utamu.
Karibu mteja wangu wa kudumu maharage utachagua ya kukata au shatashata.
Kwenye ujasiriamali kuna kitu kinaitwa (KYC) know your customer unaona sasa nimejua hitaji lako kabla wewe hujasema, sasa umeona i am the right person for this position.
Chef amu.
Ataanza kuhamia na kuhalalisha kwa kung'ang'ania ataanza KULETA ka kanga kesho ndala keshokutwa gauni ooooohhhhoooo kahamiaKwani mwanamke kukupikia Ndo ishara ya kuwa mke??? Sema hawajui kupika aisee...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mpishi hapa ndo kwake yani. Tena maharage ya nazi nakupikia na wali wa nazi naweka na iliki mbona utajiramba.Mzigua unaweza mambo ndugu yangu..usije nipikie bwabwa,unalijua...hahah.natania
Nikwel,kama wik hii wamekata sana umeme kwetu hukuMleta mada naku unga mkono, ata mimi vya kwenye mgahawa huwa ni tabu tu, tatizo unaeza mlipa mtu akupikie, ukawa na fridge na luku umeweka ya kutosha. Tanesco waka kutia kidole. Tanesco wanatuingiza sana hasara na joto hili.
Umetaja iliki nmekubal we utakua unajua kupika,maana kuna siku nmekula harage la naz lenye iliki somwea.yaan harage limekolea had linakua jeus jeus na ka usukar kwa mbali,ule ubwabwa ulikua mtam sanaaaMpishi hapa ndo kwake yani. Tena maharage ya nazi nakupikia na wali wa nazi naweka na iliki mbona utajiramba.
Sasa nipe kazi hiyo. Sasa mharage ya nazi yenye iliki ule na maandazi na chai ya tangawizi uta[emoji857][emoji857][emoji857][emoji857]Umetaja iliki nmekubal we utakua unajua kupika,maana kuna siku nmekula harage la naz lenye iliki somwea.yaan harage limekolea had linakua jeus jeus na ka usukar kwa mbali,ule ubwabwa ulikua mtam sanaaa
Happy new year bby, I Miss u Sweethrt.Umepata mpishi au bado Nile tender hiyo?