amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,169
- 31,356
anatuchora tu hapa, kujibu hajibu hadi mpambano unakuwa mkubwa sasa.Hahaha alikuwa na njaa na amevikosa hivi vyakula kwa muda mrefu, embu mpikie hiyo pilau mimi nitamcheck na maharage.
anatuchora tu hapa, kujibu hajibu hadi mpambano unakuwa mkubwa sasa.Hahaha alikuwa na njaa na amevikosa hivi vyakula kwa muda mrefu, embu mpikie hiyo pilau mimi nitamcheck na maharage.
hahahhaahhaaaaWe jamaa bangi kweli kwa iyo unamadem wengi mpaka umefungua matawi mkoani
Watu kama wote mkuu, idadi yoyote nipe tenda basi hutojutia.
hivi mpishi akiwa mkali zaidi ya mademu zake, na pilau maharage anapika kama lote inakuwaje hapo?Kabisa...[emoji23][emoji23][emoji23]Yani demu wako awe fundi wa kupika kama wangu[emoji39][emoji39][emoji39]alafu utafute mpishi mwingnr
Sasa nimekuelewa mkuuSipend vyakula vya hotel sjui kwann...nahis nmevila saaaaaana ,nataka harage la kupika mwanamke au pilau la kupika mwanamke,yaan lile la ukwel,sio la watu weng,au hujui la weng ladha inapungua
wewe acha ufala unaendaga instagram wapishi tuko hapa embu tupe tenda hiyo njoo pm.Nafanya hvyo
Nitafute mkuu nitakupa na ofa juice ya ukwaju lita moja.Naaaaaaam..itabidi nikutafte
Hiv dada kumbe zile pilau masala hazifai,ndoooomanaa bas,kuna bibie alipika hapa kwangu pilau na zile pakti za hyo kitu masala,ile pilau ilikua veery pale,siunajua pilau lililokolea had linakua jeus,sasa lile pilau lilkua jeupe asee,siku enjoy ila ndo hvyo inabid usifie tuu usije nyimwa papuchWatu kama wote mkuu, idadi yoyote nipe tenda basi hutojutia.
rikiboy itakuwa wanampikia na zile pilau masala za gengeni packt sh mia, mbayaaa.
Ahsante mkuu.Ipo siku nitakutafuta, soon OR Later
kwanza tuanzie hapo kwenye juice,ya ukwaju,maana mi sabab ya kula fastfoods hua na ma constipation ya hatar,niliambiwa juice ya ukwaju ndo dawa ,yaan kitu inatoka lain kama ya mtoto,ila sasa juice za uswaz ukwaju unakua diluted sana,..Nitafute mkuu nitakupa na ofa juice ya ukwaju lita moja.
Nimecheka kifala, yaani hoi ni kweli haifai wasiojua kupika ndo wanatumia hayo, halafu siku ya kwanza nitakupikia aina 2 za pilau jeusi na kama la njano njano fulani utachagua ipi maana naona unapenda jeusi, naimani hujalionja la njano njano kwanza rangi yenyewe inavutia, achana na utamu.Hiv dada kumbe zile pilau masala hazifai,ndoooomanaa bas,kuna bibie alipika hapa kwangu pilau na zile pakti za hyo kitu masala,ile pilau ilikua veery pale,siunajua pilau lililokolea had linakua jeus,sasa lile pilau lilkua jeupe asee,siku enjoy ila ndo hvyo inabid usifie tuu usije nyimwa papuch
Nimecheka kifala, yaani hoi ni kweli haifai wasiojua kupika ndo wanatumia hayo, halafu siku ya kwanza nitakupikia aina 2 za pilau jeusi na kama la njano njano fulani utachagua ipi maana naona unapenda jeusi, naimani hujalionja la njano njano kwanza rangi yenyewe inavutia, achana na utamu.
Karibu mteja wangu wa kudumu maharage utachagua ya kukata au shatashata.