Natafuta mpishi wa pilau na maharage, ambae nitamlipa kwa kila pishi

Hahaha alikuwa na njaa na amevikosa hivi vyakula kwa muda mrefu, embu mpikie hiyo pilau mimi nitamcheck na maharage.
anatuchora tu hapa, kujibu hajibu hadi mpambano unakuwa mkubwa sasa.
 
Kabisa...[emoji23][emoji23][emoji23]Yani demu wako awe fundi wa kupika kama wangu[emoji39][emoji39][emoji39]alafu utafute mpishi mwingnr
hivi mpishi akiwa mkali zaidi ya mademu zake, na pilau maharage anapika kama lote inakuwaje hapo?
 
Utanilipa sh ngapi? na uwe unakuja kufata mwenyewe chakula.

Ndo tender zangu hizo nitakupikia pilau na matandu yake nitakuwekea.
Naaaaaaam..itabidi nikutafte
 
Sipend vyakula vya hotel sjui kwann...nahis nmevila saaaaaana ,nataka harage la kupika mwanamke au pilau la kupika mwanamke,yaan lile la ukwel,sio la watu weng,au hujui la weng ladha inapungua
Sasa nimekuelewa mkuu
 
Kwani mwanamke kukupikia Ndo ishara ya kuwa mke??? Sema hawajui kupika aisee...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ahhh,akishaanza kupika pika hua wanajua tayar mume kashapata,ataanza kuacha vtu vyake,mara kaamia
 
Watu kama wote mkuu, idadi yoyote nipe tenda basi hutojutia.



rikiboy itakuwa wanampikia na zile pilau masala za gengeni packt sh mia, mbayaaa.
Hiv dada kumbe zile pilau masala hazifai,ndoooomanaa bas,kuna bibie alipika hapa kwangu pilau na zile pakti za hyo kitu masala,ile pilau ilikua veery pale,siunajua pilau lililokolea had linakua jeus,sasa lile pilau lilkua jeupe asee,siku enjoy ila ndo hvyo inabid usifie tuu usije nyimwa papuch
 
Reactions: Eco
Nitafute mkuu nitakupa na ofa juice ya ukwaju lita moja.
kwanza tuanzie hapo kwenye juice,ya ukwaju,maana mi sabab ya kula fastfoods hua na ma constipation ya hatar,niliambiwa juice ya ukwaju ndo dawa ,yaan kitu inatoka lain kama ya mtoto,ila sasa juice za uswaz ukwaju unakua diluted sana,..
 
Nimecheka kifala, yaani hoi ni kweli haifai wasiojua kupika ndo wanatumia hayo, halafu siku ya kwanza nitakupikia aina 2 za pilau jeusi na kama la njano njano fulani utachagua ipi maana naona unapenda jeusi, naimani hujalionja la njano njano kwanza rangi yenyewe inavutia, achana na utamu.

Karibu mteja wangu wa kudumu maharage utachagua ya kukata au shatashata.
 
[emoji16][emoji16],.hahahah..ngoja ntafanya mchakato kwakwel,..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…