Natafuta mpishi wa pilau na maharage, ambae nitamlipa kwa kila pishi

Utanilipa sh ngapi? na uwe unakuja kufata mwenyewe chakula.

Ndo tender zangu hizo nitakupikia pilau na matandu yake nitakuwekea.
Njoo Pm mi mwenyewe nahitaji mpishi
 
Kwenye ujasiriamali kuna kitu kinaitwa (KYC) know your customer unaona sasa nimejua hitaji lako kabla wewe hujasema, sasa umeona i am the right person for this position.
Chef amu.

kwanza tuanzie hapo kwenye juice,ya ukwaju,maana mi sabab ya kula fastfoods hua na ma constipation ya hatar,niliambiwa juice ya ukwaju ndo dawa ,yaan kitu inatoka lain kama ya mtoto,ila sasa juice za uswaz ukwaju unakua diluted sana,..
 
Dah mimi mwenyewe nimemis wali mchafu, huku Tandahimba unaweza kuja..??
 
Ohh yah,ndo nmeingia home hapa mda mref.yaan kuwasha tv tuu naona channel ya mapish huyu dada anapika mavitu ya ajab..kwel nyota ya chakula imeniandama.hahah,itabid nikutafte ndugu yangu nkiwa ready..
Kwenye ujasiriamali kuna kitu kinaitwa (KYC) know your customer unaona sasa nimejua hitaji lako kabla wewe hujasema, sasa umeona i am the right person for this position.
Chef amu.
 
Mleta mada naku unga mkono, ata mimi vya kwenye mgahawa huwa ni tabu tu, tatizo unaeza mlipa mtu akupikie, ukawa na fridge na luku umeweka ya kutosha. Tanesco waka kutia kidole. Tanesco wanatuingiza sana hasara na joto hili.
 
Kwani mwanamke kukupikia Ndo ishara ya kuwa mke??? Sema hawajui kupika aisee...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ataanza kuhamia na kuhalalisha kwa kung'ang'ania ataanza KULETA ka kanga kesho ndala keshokutwa gauni ooooohhhhoooo kahamia
 
Mzigua unaweza mambo ndugu yangu..usije nipikie bwabwa,unalijua...hahah.natania
Mpishi hapa ndo kwake yani. Tena maharage ya nazi nakupikia na wali wa nazi naweka na iliki mbona utajiramba.
 
Mleta mada naku unga mkono, ata mimi vya kwenye mgahawa huwa ni tabu tu, tatizo unaeza mlipa mtu akupikie, ukawa na fridge na luku umeweka ya kutosha. Tanesco waka kutia kidole. Tanesco wanatuingiza sana hasara na joto hili.
Nikwel,kama wik hii wamekata sana umeme kwetu huku
 
Mpishi hapa ndo kwake yani. Tena maharage ya nazi nakupikia na wali wa nazi naweka na iliki mbona utajiramba.
Umetaja iliki nmekubal we utakua unajua kupika,maana kuna siku nmekula harage la naz lenye iliki somwea.yaan harage limekolea had linakua jeus jeus na ka usukar kwa mbali,ule ubwabwa ulikua mtam sanaaa
 
Hivi umoja wa neno maharage ni _________?

Hata mie sijala muda mrefu?
 
Umetaja iliki nmekubal we utakua unajua kupika,maana kuna siku nmekula harage la naz lenye iliki somwea.yaan harage limekolea had linakua jeus jeus na ka usukar kwa mbali,ule ubwabwa ulikua mtam sanaaa
Sasa nipe kazi hiyo. Sasa mharage ya nazi yenye iliki ule na maandazi na chai ya tangawizi uta[emoji857][emoji857][emoji857][emoji857]
 
mi natafuta dada wa kazi za ndani awe na shepu nzuri mwembamba na mweupe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…