Natafuta mrembo wa kuzaa naye

Mwanzo wa mahusiano na mkeo hamkuwa mmejadili kuhusu idadi ya watt(kama mkijaaliwa?)
Na je ? Unahisi hili unalotaka kifanya ni sahihi?(jitafakari sana kwa kina)
Siku mkeo akijua sio mwisho wa ndoa yako?
Okk ,, umejadili kwa kina na mkeo na kumshirikisha mpango wako(kama tishio kwamba kwq kuwq hutaki kunizalia nazaa nje) kisha na yeye akasemaje???
Hebu kabla ya kutekeleza wazo lako piga hasara na faida

Sent from my Infinix X559C using Tapatalk
 
kwa hulka ya kawaida ya binadamu, hamna mwanamke atakayekuruhusu kuoa au kuzaa nje! hili linawezekana kwa uwezo wa Muumba tu, hata kwa wenzetu wanaoruhusiwa kuoa wake zaidi ya mmoja, inapofika wakati mume anataka kufuata haya maandiko wake wengi huwa mbogo pia na hata ndoa kuvunjika.
 
Au unahitaji jinsia fulani uneikosa.. why mkeo akatae kukuzalia.. may be kaona kuna ualakin wa matunzo kwa familia. Then wataka zaa nje ya ndoa..
What next km ukitangulia mbele ya haki.. huyu mtoto wa nje utamwacha ktk wakati gani..???
 
uzi umefungwa rasmi, nimeshampata niliyekuwa namwitaji, walijitokeza wengi sana na nilipata kazi sana kuchuja, lakini namshukuru Mungu yameisha. AHSANTE SANA JAMII FORUM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…