Natafuta Mshangazi ama Mshangazi hamumtaki Kijana wa Kimasai?

Natafuta Mshangazi ama Mshangazi hamumtaki Kijana wa Kimasai?

888I

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
472
Reaction score
581
Kwani Mshangazi una sifa Zipi ?
Jamii ya leo inazidi kushuhudia mahusiano yasiyo ya kawaida: vijana wa kiume wakiwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na wanawake wakubwa kiumri — mara nyingi wakiwa sawa na mama au shangazi zao. Wengine huita "sugar love", wengine wanaita "upendo wa kipekee".

Lakini tukiachana na majina, ukweli ni huu:
👩‍🦳 Kwa mwanamke mkubwa, anapata kijana aliye na nguvu, usikivu, mabadiliko ya kimtazamo, au hata faraja baada ya kuumizwa au kuachwa.

👨‍🦱 Kwa mwanaume mdogo, mara nyingine ni kivutio cha utulivu, usaidizi kifedha, upendo wa mama, au hata kupenya kwenye mtandao wa mafanikio.

Lakini kwa upande mwingine:

Uhusiano huu mara nyingi unakabiliwa na hukumu kali ya jamii, mashaka kuhusu dhamira ya kweli ya mapenzi, na tofauti za kimaisha zinazoibuka baadaye.

Wengine huona ni uhuru wa mapenzi. Wengine huita ni kuvuka mipaka ya maadili ya kitamaduni.

Lakini mwisho wa siku, swali hubaki palepale: Mapenzi ni umri, ni dhamira, au ni fursa?

✍🏾
#Mahusiano
#MapenziNaUmri
#MaishaYaSasa
 
Acha ujinga mzee,fanya kazi hiyo ndiyo heshima ya mwanaume.Usitake mteremko,utapata madhara ya kisaikolojia na hata kimwili pia,usipokua makini.Tafuta mtu wa rika lako,utengeneze boma lako,watu wakiulizwa pale ni kwa nani,wajibu kua nk kwa flani(utajwe kwa jina lako au mwanao).Epuka ujingaujinga,halafu unajitanabaisha kua wewe ni mmasai kabisa.Acha tamaa.Wewe inaonekana ungezaliwa miaka ya nyuma ungefuata martrineal way of life.Acha ujinga,nakuonya tena.
 
Acha kitinga mzee,fanya kazi hiyo ndiyo heshima ya mwanaume.Usitake mteremko,utapata madhara ya kisaikolojia na hata kimwili pia,usipokua makini.Tafuta mtu wa rika lako,utengeneze boma lako,watu wakiulizwa pale ni kwa nani,wajibu kua nk kwa flani(utajwe kwa jina lako au mwanao).Epuka ujingaujinga,halafu unajitanabaisha kua wewe ni mmasai kabisa.Acha tamaa.Wewe inaonekana ungezaliwa miaka ya nyuma ungefuata martrineal way of life.Acha ujinga,nakuonya tena.
Elimu kubwa sana umempa vinginevyo angeliabisha kabila la wamasai au ni mmasai koko huyu kijana
 
Acha kitinga mzee,fanya kazi hiyo ndiyo heshima ya mwanaume.Usitake mteremko,utapata madhara ya kisaikolojia na hata kimwili pia,usipokua makini.Tafuta mtu wa rika lako,utengeneze boma lako,watu wakiulizwa pale ni kwa nani,wajibu kua nk kwa flani(utajwe kwa jina lako au mwanao).Epuka ujingaujinga,halafu unajitanabaisha kua wewe ni mmasai kabisa.Acha tamaa.Wewe inaonekana ungezaliwa miaka ya nyuma ungefuata martrineal way of life.Acha ujinga,nakuonya tena.
Kwani mbona Ujinga ? Namna Gani mkuu ? kwani unanifahamu kwa kiwango Gani ?
 
Kwani mbona Ujinga ? Namna Gani mkuu ? kwani unanifahamu kwa kiwango Gani ?
Nimekufahamu kwa kiwango kinachofanya ustahili kuitwa hivyo,maana unao mtazamo wa kukana jukumu la mwanaume,wewe unawekaje tangazo la kutaka WAMAMA?
 
Back
Top Bottom