Elimu kubwa sana umempa vinginevyo angeliabisha kabila la wamasai au ni mmasai koko huyu kijanaAcha kitinga mzee,fanya kazi hiyo ndiyo heshima ya mwanaume.Usitake mteremko,utapata madhara ya kisaikolojia na hata kimwili pia,usipokua makini.Tafuta mtu wa rika lako,utengeneze boma lako,watu wakiulizwa pale ni kwa nani,wajibu kua nk kwa flani(utajwe kwa jina lako au mwanao).Epuka ujingaujinga,halafu unajitanabaisha kua wewe ni mmasai kabisa.Acha tamaa.Wewe inaonekana ungezaliwa miaka ya nyuma ungefuata martrineal way of life.Acha ujinga,nakuonya tena.
Kwani mbona Ujinga ? Namna Gani mkuu ? kwani unanifahamu kwa kiwango Gani ?Acha kitinga mzee,fanya kazi hiyo ndiyo heshima ya mwanaume.Usitake mteremko,utapata madhara ya kisaikolojia na hata kimwili pia,usipokua makini.Tafuta mtu wa rika lako,utengeneze boma lako,watu wakiulizwa pale ni kwa nani,wajibu kua nk kwa flani(utajwe kwa jina lako au mwanao).Epuka ujingaujinga,halafu unajitanabaisha kua wewe ni mmasai kabisa.Acha tamaa.Wewe inaonekana ungezaliwa miaka ya nyuma ungefuata martrineal way of life.Acha ujinga,nakuonya tena.
Hahahaha,kama ni ndugu yako msaidie kumtafutia shaang-wazi au mshangaziJesusss
Usije ukawa ndugu yangu
Wenzio walianza hivi hivi, hatimaye sasa wanakazwa kwa kupenda kitonga...Kwani Mshangazi una sifa Zipi ?
Embu nipate mmoja wa kumfahamu nijifunze tu jinsi Mshangazi unavyokua.
Pesa za bure zipoHahahaha,kama ni ndugu yako msaidie kumtafutia shangazi au mshangazi
usinifukuzie ndege tunduni bwasheeFanya kazi bwashee
Nimekufahamu kwa kiwango kinachofanya ustahili kuitwa hivyo,maana unao mtazamo wa kukana jukumu la mwanaume,wewe unawekaje tangazo la kutaka WAMAMA?Kwani mbona Ujinga ? Namna Gani mkuu ? kwani unanifahamu kwa kiwango Gani ?
Huyo Morani,kajiandaa kwa vyote ,iwe kupakatwq au kupakwa mafuta, wewe mtafutie mshaanga-waziPesa za bure zipo
Ila kuna kupakatwa pia
Awe makini young boy
OK komaaa😅usinifukuzie ndege tunduni bwashee