Wadada mnajifanya mnayo pesa π π π π ila wengi wenu mnaganga njaa tu kama mimi huku kiguu mpandeeπ€£Pesa za bure zipo
Ila kuna kupakatwa pia
Awe makini young boy
Kijana ameleta aibu kwa familiaπ€£Jesusss
Usije ukawa ndugu yangu
sasa ndo useme ukweli wetu jamani πππWadada mnajifanya mnayo pesa π π π π ila wengi wenu mnaganga njaa tu kama mimi huku kiguu mpandeeπ€£
Mi sitampakataWadada mnajifanya mnayo pesa π π π π ila wengi wenu mnaganga njaa tu kama mimi huku kiguu mpandeeπ€£
Mtajua wenyewe madamsasa ndo useme ukweli wetu jamani πππ
Anataka pesaKijana ameleta aibu kwa familiaπ€£
No reforms No erectionsKwani Mshangazi una sifa Zipi ?
Jamii ya leo inazidi kushuhudia mahusiano yasiyo ya kawaida: vijana wa kiume wakiwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na wanawake wakubwa kiumri β mara nyingi wakiwa sawa na mama au shangazi zao. Wengine huita "sugar love", wengine wanaita "upendo wa kipekee".
Lakini tukiachana na majina, ukweli ni huu:
π©β𦳠Kwa mwanamke mkubwa, anapata kijana aliye na nguvu, usikivu, mabadiliko ya kimtazamo, au hata faraja baada ya kuumizwa au kuachwa.
π¨β𦱠Kwa mwanaume mdogo, mara nyingine ni kivutio cha utulivu, usaidizi kifedha, upendo wa mama, au hata kupenya kwenye mtandao wa mafanikio.
Lakini kwa upande mwingine:
Uhusiano huu mara nyingi unakabiliwa na hukumu kali ya jamii, mashaka kuhusu dhamira ya kweli ya mapenzi, na tofauti za kimaisha zinazoibuka baadaye.
Wengine huona ni uhuru wa mapenzi. Wengine huita ni kuvuka mipaka ya maadili ya kitamaduni.
Lakini mwisho wa siku, swali hubaki palepale: Mapenzi ni umri, ni dhamira, au ni fursa?
βπΎ
#Mahusiano
#MapenziNaUmri
#MaishaYaSasa
OK komaeni aseeMi sitampakata
Watampakata wenye pesa
Baadhi yao unakuta wanachukua kwa mwanaume mwingine,halafu wanafuga wanaume kama mleta mada,wanajifanya wana hela.Wadada mnajifanya mnayo pesa π π π π ila wengi wenu mnaganga njaa tu kama mimi huku kiguu mpandeeπ€£
π³Alooh haya shukrani kwa maoniBaadhi yao unakuta wanachukua kwa mwanaume mwingine,halafu wanafuga wanaume kama mleta mada,wanajifanya wana hela.
Mleta mada fanya kazi,utakuja kudhalilishwa utu wako,fikiria ukiliwa kibogaa,huoni itakuathiri kisaikolojia?
Dating older women is fun until you realize why they are single at their age.Kwani Mshangazi una sifa Zipi ?
Jamii ya leo inazidi kushuhudia mahusiano yasiyo ya kawaida: vijana wa kiume wakiwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na wanawake wakubwa kiumri β mara nyingi wakiwa sawa na mama au shangazi zao. Wengine huita "sugar love", wengine wanaita "upendo wa kipekee".
Lakini tukiachana na majina, ukweli ni huu:
π©β𦳠Kwa mwanamke mkubwa, anapata kijana aliye na nguvu, usikivu, mabadiliko ya kimtazamo, au hata faraja baada ya kuumizwa au kuachwa.
π¨β𦱠Kwa mwanaume mdogo, mara nyingine ni kivutio cha utulivu, usaidizi kifedha, upendo wa mama, au hata kupenya kwenye mtandao wa mafanikio.
Lakini kwa upande mwingine:
Uhusiano huu mara nyingi unakabiliwa na hukumu kali ya jamii, mashaka kuhusu dhamira ya kweli ya mapenzi, na tofauti za kimaisha zinazoibuka baadaye.
Wengine huona ni uhuru wa mapenzi. Wengine huita ni kuvuka mipaka ya maadili ya kitamaduni.
Lakini mwisho wa siku, swali hubaki palepale: Mapenzi ni umri, ni dhamira, au ni fursa?
βπΎ
#Mahusiano
#MapenziNaUmri
#MaishaYaSasa
Older women can be exciting, confident, and experienced but sometimes that experience comes with baggage, habits, or emotional walls.Baadhi yao unakuta wanachukua kwa mwanaume mwingine,halafu wanafuga wanaume kama mleta mada,wanajifanya wana hela.
Mleta mada fanya kazi,utakuja kudhalilishwa utu wako,fikiria ukiliwa kibogaa,huoni itakuathiri kisaikolojia?