Natafuta Mshauri wa Mambo ya Biashara na Mshauri wa Mambo ya Sheria

Mlenga

Member
Joined
Dec 9, 2013
Posts
16
Reaction score
7
Nimefungua ofisi yangu ndogo mtaani. Lengo langu ni kutoa huduma za kuwezesha biashara (Business supporting services). Mimi ni mshauri wa IT (IT consultant) lakini pia kutokana na uzoefu najua mambo kadha wa kadhaa ya biashara.

Natafuta watu wa kufanya nao kazi wa taaluma zote. lakini kwa kuanzia ningependa kuwa na wataalamu washauri wa sheria na Biashara. Hii siyo ajira ya kulipana mshahara bali, tutakuwa tunagawana kile kinachopatikana katika utaratibu tutakao kubaliana.

Kwa kuzingatia ofisi ni mpya, ningependa mtalaamu awepo ofisini at least once a week. That means atakuja ofisini kwa ajili ya consultations na wateja. Kama kuna kazi ya kufanya anaweza fanyia popote na kuja kumkabidhi mteja siku watayo kuwa wamekubaliana. Model ya business ni kutoza consultation fees kidogo + kazi kama itakuwepo.

Kutegemeana na Biashara itakavyoendelea frequency ya kuja ofisini itaongezeka accordingly. Wateja wetu tuna target wawe watu wa kawaida wa kipato cha chini na cha kati.

Ningependa watu wenye sifa zifuatazo;
Mwanasheria - Awe na muhuri,awe anauelewa mzuri wa sheria za biashara/Mikataba pamoja na sheria za zingine za kawaida. Awe freelancer is more preffered, lakini akiwa ameajiriwa na anaweza ku dedicate muda kwa kazi zingine pia atakubaliwa.

Mshauri wa Biashara - Awe na ulelewa mzuri wa sheria, taratibu ma michakato mbalimbali ya Biashara, mikopo na Makampuni (Atasaidiana na Lawyer katika baadhi ya Mambo), Ajue kuandaa maandiko mbalimbali ya kibiashara kama Business Plan, project proposals etc. Awe na uelewa mzuri wa biashara za hisa. Akiwa na elimu ya uhasibu kama kuandaa financial statemets and TRA returns ni added advantage. Akiwa

Kama nilivyose lengo langu ni kuwa na pool of proffesionals working together to deliver Integrated business support services that will bring VALUE to Tanzanian Community. Sitaki mtu mbabaishaji. Intererested person please PM me.
 
Mimi sio mwanasheria wala mtaalam wa biashara ila ni vyema ukaweka namba!!! Ili kila tu akawasiliana na wewe!!! PM kwa issue sensitive kama hii utaonekana hauko serious Mlenga
 
Last edited by a moderator:

Kwanini? we unafikiri namba za simu private huwa zinaanikwa anikwa tu? uandishi tu wa mleta maada unaonyesha ni mtu mwenye uelewa mpana na yupo serious ila uandishi wako wewe unaonyesha haupo serious.
 
Kwani namba za kampuni ni za kuwekwa private??
Yalikua ni mawazo tu ndugu likiwa na maana anachukua likiwa halina anaacha just like that!!
 
Siku 5 hakuna response hata moja. Ina maana wasomi wote wa sheria na biashara wana kazi za maana enhee.
 
Sidhani kuna mwanasheria mwenye mhuri asiye na ofisi. Kwanza rule 8(b) of rule of professional conduct and etiquette of TLS inazuia lawyer mwenye mhuri kushare ofisi na asiye lawyer, rule 6(f) inazuia kushare profit na asiye lawyer.
Mwenye mhuri kuja kufanya kazi kwako kutamfanya ofisi yake isifahamika.

Unaweza mtumia kama partner kwa we we kumfata wateja wako kuwaelekeza ofisini kwake au kwa kumwita mwajiriwa wako. All the best.
 
Honda umesema vizuri...kwa mwamasheria. Ila kwa wengine najua wanaona ni kama kazi isiyo na maana.....wengi wa graduates wanataka ready made jobs , mjadili kima cha mshahara basi, sio commission basis wala kulipwa kulingana na kazi
 
Mimi nami Nina kampuni inataka kufanana na huyu ndg mleta maada, huko nyuma nikatangaza nafasi za wasomi tufanye nao kazi , loh....hawakuja na aliyekuja akaja na masharti alipwe mshahara , mwingine akakubali wa marketing, nikawa nampa nauli na 20,000 akatafute masoko, kwa wiki Mara 2, duh akawa haendi anapika data, nilipofuatilia contact sheet ya wateja aliowafuatilia uzushi mtupu...na akaacha kazi....kumbe alikuwa mvivu kwenda na uoga wa kufanya marketing; mtu mwenye Diploma ya business administration.
 
Kampuni ya mambo gani hayo tufanye kazi kama partners?
 
Sidhani kuna mwanasheria mwenye mhuri asiye na ofisi. Kwanza rule 8(b) of rule of professional conduct and etiquette of TLS inazuia lawyer mwenye mhuri kushare ofisi na asiye lawyer, rule 6(f) inazuia kushare profit na asiye lawyer.
Mwenye mhuri kuja kufanya kazi kwako kutamfanya ofisi yake isifahamika.

Unaweza mtumia kama partner kwa we we kumfata wateja wako kuwaelekeza ofisini kwake au kwa kumwita mwajiriwa wako. All the best.

Nashukuru kwa ufafanuzi wako. Kama nilivyosema kwenye post yangu ni makubaliano tu. Anaweza akaajiriwa, au akawa patner, au nikamtafutia wateja kupitia kampuni yangu yoote yanawezekana. Cha msingi ni makubaliano na kufanya kazi.
 
Mimi nami Nina kampuni inataka kufanana na huyu ndg mleta maada, huko nyuma nikatangaza nafasi za wasomi tufanye nao kazi , loh....hawakuja na aliyekuja akaja na masharti alipwe mshahara , mwingine akakubali wa marketing, nikawa nampa nauli na 20,000 akatafute masoko, kwa wiki Mara 2, duh akawa haendi anapika data, nilipofuatilia contact sheet ya wateja aliowafuatilia uzushi mtupu...na akaacha kazi....kumbe alikuwa mvivu kwenda na uoga wa kufanya marketing; mtu mwenye Diploma ya business administration.

Tanzania tukubali tu kwamba tuna tatizo la workforce. Wasomi wetu ni wa madesa. Ku copy na ku paste. Na wanataka sweet without sweating.

Wengi uwezo wa ku deliver ni mdogo na katika makampuni makubwa wanakuwa wanabebwa na wachache na hivyo kazi siku zinasonga. Lakini kwa kampuni kama zetu ambapo unataka mtu mmoja au wawili wanakuwa wanapwaya.

Kimsingi hata kama una business adia yoyote mwisho wa siku huwezi kuitekeleza peke yako. Ni lazima upate watu wanao weza mshirikiane nao.
 
Sidhani kuna mwanasheria mwenye mhuri asiye na ofisi. Kwanza rule 8(b) of rule of professional conduct and etiquette of TLS inazuia lawyer mwenye mhuri kushare ofisi na asiye lawyer, rule 6(f) inazuia kushare profit na asiye lawyer.
Mwenye mhuri kuja kufanya kazi kwako kutamfanya ofisi yake isifahamika.

Unaweza mtumia kama partner kwa we we kumfata wateja wako kuwaelekeza ofisini kwake au kwa kumwita mwajiriwa wako. All the best.

Msingi wa sheria hizi ni nini? Mbona kama haziendani na uchumi na mazingira ya kisasa ya soko huria ma ushindani.
 
Back
Top Bottom