Nimefungua ofisi yangu ndogo mtaani. Lengo langu ni kutoa huduma za kuwezesha biashara (Business supporting services). Mimi ni mshauri wa IT (IT consultant) lakini pia kutokana na uzoefu najua mambo kadha wa kadhaa ya biashara.
Natafuta watu wa kufanya nao kazi wa taaluma zote. lakini kwa kuanzia ningependa kuwa na wataalamu washauri wa sheria na Biashara. Hii siyo ajira ya kulipana mshahara bali, tutakuwa tunagawana kile kinachopatikana katika utaratibu tutakao kubaliana.
Kwa kuzingatia ofisi ni mpya, ningependa mtalaamu awepo ofisini at least once a week. That means atakuja ofisini kwa ajili ya consultations na wateja. Kama kuna kazi ya kufanya anaweza fanyia popote na kuja kumkabidhi mteja siku watayo kuwa wamekubaliana. Model ya business ni kutoza consultation fees kidogo + kazi kama itakuwepo.
Kutegemeana na Biashara itakavyoendelea frequency ya kuja ofisini itaongezeka accordingly. Wateja wetu tuna target wawe watu wa kawaida wa kipato cha chini na cha kati.
Ningependa watu wenye sifa zifuatazo;
Mwanasheria - Awe na muhuri,awe anauelewa mzuri wa sheria za biashara/Mikataba pamoja na sheria za zingine za kawaida. Awe freelancer is more preffered, lakini akiwa ameajiriwa na anaweza ku dedicate muda kwa kazi zingine pia atakubaliwa.
Mshauri wa Biashara - Awe na ulelewa mzuri wa sheria, taratibu ma michakato mbalimbali ya Biashara, mikopo na Makampuni (Atasaidiana na Lawyer katika baadhi ya Mambo), Ajue kuandaa maandiko mbalimbali ya kibiashara kama Business Plan, project proposals etc. Awe na uelewa mzuri wa biashara za hisa. Akiwa na elimu ya uhasibu kama kuandaa financial statemets and TRA returns ni added advantage. Akiwa
Kama nilivyose lengo langu ni kuwa na pool of proffesionals working together to deliver Integrated business support services that will bring VALUE to Tanzanian Community. Sitaki mtu mbabaishaji. Intererested person please PM me.