Poa
Hizi za kutembeza kwenye sahani! Au una stoo kabisa?!Njoo tuuze diamond karanga
Muda ninao wa kutosha sababu sio mwajiliwaUna muda? Kama utaingiza hela tu kwenye biashara bila kuweka muda,utaishia kumlaumu partner
Ujasilia mali unahitaji uwekezaji mkubwa wa muda pengine kuliko pesa
Hicho ni kama kianzio kama biashara Ikihitaji mtaji zaidi ninaweza kupambana1m niela ndogo sana kuanzisha biashara au kutop up mtaji....km unayo kuanzia 5m nije inbox tufanye mazungumzo
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa ushauri wako mkuuKama una muda you're going to be a successful man...
Mkuu naja pm hata kwa ushauri kwa hicho kimtaji kidogo kilichopo inatosha1m niela ndogo sana kuanzisha biashara au kutop up mtaji....km unayo kuanzia 5m nije inbox tufanye mazungumzo
Sent using Jamii Forums mobile app
It depends ....sole trader,partnership, or a company....mkuu watu wanaanza biashara hata ya elfu hamsini...tusikatishane tamaa namna hiyo.......1m niela ndogo sana kuanzisha biashara au kutop up mtaji....km unayo kuanzia 5m nije inbox tufanye mazungumzo
Sent using Jamii Forums mobile app
Be blessed my brazaHakikisha mnafanyiana vetting wewe na partiner ili kila mmoja ajue je huyu ni right partiner?
Kazana mkuu,umoja ni nguvu!
Niko Geita mkuuGood,kanda ya ziwa upo mkoa gani?
Naipenda JF
Pamoja sana nitakufuata kwa ushauri zaidiKazana mkuu,umoja ni nguvu!
Sisi tuko tayari kwenye project ningekutafuta tufanye kazi,ila hata hivo tukifikia venture nitakutafuta hata wewe pia unitafute kuanzia May 2018
KabisaIt depends ....sole trader,partnership, or a company....mkuu watu wanaanza biashara hata ya elfu hamsini...tusikatishane tamaa namna hiyo.......