Natafuta msichana mrembo anaejua thamani ya mwanamme aliye tayari kuolewa na mimi

Natafuta msichana mrembo anaejua thamani ya mwanamme aliye tayari kuolewa na mimi

Kazi yangu ni Engineer, ila natafuta mwanamke alie na uvumilivu kwa mimi na kazi yangu,kusafiri kwenda nje ya nchi ya tz na Tanzania ndio ajira yangu kuu wakati nikiwa kikazi,na mwanamke awe mrefu,mweupe kidogo au zaidi,awe na umri wa miaka 21-25.

Awe anajua kupika na kupakua kwa usiku na mchana.Anicheki inbox,ili nionane nae kabla ya December 31 maana tarehe 5Jan naenda Kikazi Congo.
sasa kwani ukiwa congo inbox hupatikani?
we kukosa mwanamke wa kumtongoza mitaani ni haki yako!
hizo sifa ulizozisema kama kwa umri wako woote hapa duniani hujaona kuwa yupo then huyo ha-exist!
kwanini unatafuta ideal characters ambazo hujawahi kuziona!
kama binti wa aina hiyo yupo kwanini hujamuimbisha mpaka uje huku, kama mitaani ulipoishi, shule, kazini na ktk maeneo ya ibada kote hujawaona, kipi kinachokupa Imani kuwa utampata hapa tena aliyekuwa single kabla ya dec 31st?
 
This is one of the reasons to like engineers, he just went straight to the point, lawyers could have come with more words.
Hana lolote huyu!
Ni mnunuaji anajaribu kupata wanaouza humu JF!
hakuna lawyer muoga kuimbisha, kama lawyer akiwa domo zege atasimamaje kumtetea client au kumuwakilisha ktk mahakama au maeneo mengine ya kibiashara/mikataba!
 
Kwani ukituambia kazi yako ww ni muhandisi wa kitu flan. Unafikili tutakuona mshamba mpaka umwambie ww ni engineer.
 
Daah nyie wahandisi huko vyuoni hamnaga hata wanawake wa kujifunzia jinsi ya kuttonngoza? yaani maelezo makavu kupitiliza kama vile upo "site". utaishia kupiga puchu "punyere" mpaka mwisho wa dunia usipobadilika.
Ahaaaaa....., kumbe nyeto ni kwa ajili ya wanaotongoza kavu kavu bila kuweka viungo wala bamia ili maneno yateleze na kuleta ladha eeeh
 
Hana lolote huyu!
Ni mnunuaji anajaribu kupata wanaouza humu JF!
hakuna lawyer muoga kuimbisha, kama lawyer akiwa domo zege atasimamaje kumtetea client au kumuwakilisha ktk mahakama au maeneo mengine ya kibiashara/mikataba!
Acha wivu
 
Back
Top Bottom