Abie
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 289
- 535
Habari wana jamvi, kama ilivyo heading hapo juu. Natafuta mtu ambaye yupo serious, committed, experienced and devoted; aje awe manager wa shamba.
Shamba lipo Namtumbo Ruvuma.
Note:
1. Shamba ndio linaanzishwa
2. Lita include mifugo kama kuku wa
kienyeji, Bata na mbuzi.
3. Mradi wa kilimo cha mboga mboga.
4. Mradi wa kilimo cha migomba.
SIFA
1. Awe na uwezo wa kusoma na kuandika vizuri, akiwa na elimu ya kuanzia form four na kuendelea itapendekeza zaidi.
2. Umri ni kuanzia 18-30
3. Asiye na records mbaya kwenye jamii na asiye na tamaa ya kupata hela kwa haraka.
4. Mwenye elimu ya ufugaji na kilimo atazingatiwa zaidi.
Karibuni sana katika mapambano ya maisha. ,,,,,,PAMOJA TUNAWEZA,,,,,