Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa MkuuHapana tunaweza kuwasiliana zaidi pm mkuu. Kikubwa ni commitment ya mtu. Kanuni zinaweza kubadilishwa😂😂😂
Mkuu ungeweka bei ingekuwa nzuri zaidi, mtaalam wa kilimo nipo hapaHabari wana jamvi, kama ilivyo heading hapo juu. Natafuta mtu ambaye yupo serious, committed, experienced and devoted; aje awe manager wa shamba.
Shamba lipo Namtumbo Ruvuma.
Note:
1. Shamba ndio linaanzishwa
2. Lita include mifugo kama kuku wa
kienyeji, Bata na mbuzi.
3. Mradi wa kilimo cha mboga mboga.
4. Mradi wa kilimo cha migomba.
SIFA
1. Awe na uwezo wa kusoma na kuandika vizuri, akiwa na elimu ya kuanzia form four na kuendelea itapendekeza zaidi.
2. Umri ni kuanzia 18-30
3. Asiye na records mbaya kwenye jamii na asiye na tamaa ya kupata hela kwa haraka.
4. Mwenye elimu ya ufugaji na kilimo atazingatiwa zaidi.
Karibuni sana katika mapambano ya maisha. ,,,,,,PAMOJA TUNAWEZA,,,,,
Kwa huo umri huwezi pata mtu,huo umri kwanza ni genz masharabaro,wapaka poda,at least kwanzia miaka 35 ungepata watu maana huo umri anajitambua vyemaHabari wana jamvi, kama ilivyo heading hapo juu. Natafuta mtu ambaye yupo serious, committed, experienced and devoted; aje awe manager wa shamba.
Shamba lipo Namtumbo Ruvuma.
Note:
1. Shamba ndio linaanzishwa
2. Lita include mifugo kama kuku wa
kienyeji, Bata na mbuzi.
3. Mradi wa kilimo cha mboga mboga.
4. Mradi wa kilimo cha migomba.
SIFA
1. Awe na uwezo wa kusoma na kuandika vizuri, akiwa na elimu ya kuanzia form four na kuendelea itapendekeza zaidi.
2. Umri ni kuanzia 18-30
3. Asiye na records mbaya kwenye jamii na asiye na tamaa ya kupata hela kwa haraka.
4. Mwenye elimu ya ufugaji na kilimo atazingatiwa zaidi.
Karibuni sana katika mapambano ya maisha. ,,,,,,PAMOJA TUNAWEZA,,,,,
Mtoa maada ushapata manager?kama bado kuna mtu anauzoefu wa kutosha atakuwa msaada mkubwa sana kwako