Natafuta msimamizi wa shamba la mifugo na kilimo

Kwa Sisi tuliovuka huo umri uliouweka fursa hii imetupiga kikumbo
Hapana tunaweza kuwasiliana zaidi pm mkuu. Kikubwa ni commitment ya mtu. Kanuni zinaweza kubadilishwa😂😂😂
 
Mkuu ungeweka bei ingekuwa nzuri zaidi, mtaalam wa kilimo nipo hapa
 
Mtoa maada ushapata manager?kama bado kuna mtu anauzoefu wa kutosha atakuwa msaada mkubwa sana kwako
 
Kwa huo umri huwezi pata mtu,huo umri kwanza ni genz masharabaro,wapaka poda,at least kwanzia miaka 35 ungepata watu maana huo umri anajitambua vyema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…