Kumi4
Senior Member
- Nov 4, 2021
- 101
- 106
Habari zenu wana Jukwaa, kijana wenu nina uhitaji wa msimamizi wa shughuli zote za shamba, kuanzia kilimo mpaka usalama wa shamba. Shamba liko Mkuranga, Kimanzichana eneo lina Ekari 6, kilimo kikuu kitakuwa ni mboga mboga (Bustani).
Bajeti yangu ni 120,000 kwa mwezi pamoja na Unga kiroba kimoja na mboga. Shamba lina Maji (Visima viwili), HAKUNA UMEME.
MHITAJI MWENYE MKE NAMPA KIPAUMBELE.
Akiwa mtu wa Shinyanga, Mwanza au Tabora itakuwa vizuri zaidi.
Wa kunielewa hapa atakuwa kaelewa nataka mtu wa aina gani.
Nawakilisha.
Nitafutwe kupitia 0653828027.