NYOLODO
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 12,206
- 27,987
Wakuu kwema?
Naamin mko vizuri, nina skills za uchoraj wa graphite pencil. Ninategemea kuunda kitu flani hiv kinachoshabihiana kabisa na hyperealistic drawing styles ili niweze kufanya biashara safi hapa Unguja.
Ninatafuta mtaalam wa sketch mitindo hii ya hperalism. Nina ujuzi pia na uchoraji katuni ambazo si za kuzunumza sana humu mana nilishawahi kuzipost hum miaka kadhaa nyuma.
Nani anajua kitu kuhusu hyperealistic art humu?