Natafuta Mtaalam wa zao la Kokoa ( Kakao) mkoa wa Morogoro au Tanga

Rich Dad

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2010
Posts
748
Reaction score
135
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu. Naomba mzoefu wa kilimo cha Kakao kwa mkoa wa Tanga au Morogoro ani pm tuwasiliane. Nahitaji kupata uzoefu na kujifunza zaidi kwa MTU anayefanya aina hii ya kilimo kabla ya kuingia kwenye ukulima wa hili zao.

Najua Kyela ni wazoefu zaidi lakini nimependelea mikoa hiyo niliyotaja kwa urahisi zaidi hasa ukizingatia mimi naishi Dar es Salaam.

Ni rahisi zaidi kufika Morogoro ama Tanga.
 
Wenyewe kyela wanaita IMOKOKO... ina hela sana
 
Humu hakuna MTU kweli anayejihusisha na kilimo cha Kakao?

Hata trader basi kama yupo naomba tuongee.
 
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu. Naomba mzoefu wa kilimo cha Kakao kwa mkoa wa Tanga au Morogoro ani pm tuwasiliane. Nahitaji kupata uzoefu na kujifunza zaidi kwa MTU anayefanya aina hii ya kilimo kabla ya kuingia kwenye ukulima wa hili zao.

Najua Kyela ni wazoefu zaidi lakini nimependelea mikoa hiyo niliyotaja kwa urahisi zaidi hasa ukizingatia mimi naishi Dar es Salaam.

Ni rahisi zaidi kufika Morogoro ama Tanga.
Karibu kwa elimu, ushauri na miche bora na niko Moro mjini
 
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu. Naomba mzoefu wa kilimo cha Kakao kwa mkoa wa Tanga au Morogoro ani pm tuwasiliane. Nahitaji kupata uzoefu na kujifunza zaidi kwa MTU anayefanya aina hii ya kilimo kabla ya kuingia kwenye ukulima wa hili zao.

Najua Kyela ni wazoefu zaidi lakini nimependelea mikoa hiyo niliyotaja kwa urahisi zaidi hasa ukizingatia mimi naishi Dar es Salaam.

Ni rahisi zaidi kufika Morogoro ama Tanga.
Nasikia mbingu morogoro inafanya vizuri sanaaa, mimi mwenyewe nijaliwa mwaka unaonza natambelea hukoo ili kujionea kwa machoo, kimsingi nawiwa kuwekeza hukoo.

Kilimo cha mboga mboga hada dar kimenichosha[emoji1787][emoji1787][emoji1787].nataka zao la kudumuuu.

Kama yupo mdau wa maeneo tajwa tutafurahi akitupa muongozo, nilishawahi tembelea kyela kijiji cha injisii (sijui kama nimeipatia) nilijionea kwa machooo yangu ya nyamaa.nilishawishika sanaaaa
 
KILO YA KAKAO IME SHUT UP MPAKA 32,000/-KWA KILO MOJA, TUJUZANE KILIMO HIKI CHA KUDUMU WANAZENGO!
 
Haya mazao ya biashara ni vizuri kulima sehemu ambayo na wengine wanalima kwa ajili ya uhakika wa soko, ukijianzishia unapojua wewe, utakula mwenyewe, mazao mengi yanauzwa kwenye AMCOS, sa wewe utauza wapi
 
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu. Naomba mzoefu wa kilimo cha Kakao kwa mkoa wa Tanga au Morogoro ani pm tuwasiliane. Nahitaji kupata uzoefu na kujifunza zaidi kwa MTU anayefanya aina hii ya kilimo kabla ya kuingia kwenye ukulima wa hili zao.

Najua Kyela ni wazoefu zaidi lakini nimependelea mikoa hiyo niliyotaja kwa urahisi zaidi hasa ukizingatia mimi naishi Dar es Salaam.

Ni rahisi zaidi kufika Morogoro ama Tanga.
Nilikwenda ukweni nikafundishwa na shemeji yangu ndani ya wiki nilielewa kwa undani sema cocoa inaharibu ardhi sana

USSR
 
Kwa Tanga muheza inalimwa maeneo ya kata ya kisiwani kijiji cha mashewa na kuna ghala na bodi.
Karibu.
 
Haya mazao ya biashara ni vizuri kulima sehemu ambayo na wengine wanalima kwa ajili ya uhakika wa soko, ukijianzishia unapojua wewe, utakula mwenyewe, mazao mengi yanauzwa kwenye AMCOS, sa wewe utauza wapi
Yes,huu ni ukweli wa kuzingatia,perennial cash crops inakubidi uzifate ila sio uzivute itakula kwako.
 
Back
Top Bottom