Malaria tena?😂😂 uipate mwenyewe hiyo mi sitakiNgoja tusubiri wadau wanaofanya aina hii ya kilimo watusaidie kutupatia malaria.
Wenyewe kyela wanaita IMOKOKO... ina hela sanaKama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu. Naomba mzoefu wa kilimo cha Kakao kwa mkoa wa Tanga au Morogoro ani pm tuwasiliane. Nahitaji kupata uzoefu na kujifunza zaidi kwa MTU anayefanya aina hii ya kilimo kabla ya kuingia kwenye ukulima wa hili zao.
Najua Kyela ni wazoefu zaidi lakini nimependelea mikoa hiyo niliyotaja kwa urahisi zaidi hasa ukizingatia mimi naishi Dar es Salaam.
Ni rahisi zaidi kufika Morogoro ama Tanga.
Nilishtuka kusikia malaria tena😂😂 poleHahahaha 🤣😂😂 ni makosa Tu ya uandishi mkuu. Nilimaanisha maujuzi
Karibu kwa elimu, ushauri na miche bora na niko Moro mjiniKama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu. Naomba mzoefu wa kilimo cha Kakao kwa mkoa wa Tanga au Morogoro ani pm tuwasiliane. Nahitaji kupata uzoefu na kujifunza zaidi kwa MTU anayefanya aina hii ya kilimo kabla ya kuingia kwenye ukulima wa hili zao.
Najua Kyela ni wazoefu zaidi lakini nimependelea mikoa hiyo niliyotaja kwa urahisi zaidi hasa ukizingatia mimi naishi Dar es Salaam.
Ni rahisi zaidi kufika Morogoro ama Tanga.
Ni zao zuri kwa kuwa halichavushi hivyo huweza kuzalisha mwaka nzimaNapenda kilimo cha kokoa pia, ntajifunza zaidi kupitia michango ya wadau hapa👏
Karibu mkuuHumu hakuna MTU kweli anayejihusisha na kilimo cha Kakao?
Hata trader basi kama yupo naomba
Ushirika ndio lilikuwa jipu, wamebadilisha now wamementain bei walau 4500 per kgWenyewe kyela wanaita IMOKOKO... ina hela sana
Nasikia mbingu morogoro inafanya vizuri sanaaa, mimi mwenyewe nijaliwa mwaka unaonza natambelea hukoo ili kujionea kwa machoo, kimsingi nawiwa kuwekeza hukoo.Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu. Naomba mzoefu wa kilimo cha Kakao kwa mkoa wa Tanga au Morogoro ani pm tuwasiliane. Nahitaji kupata uzoefu na kujifunza zaidi kwa MTU anayefanya aina hii ya kilimo kabla ya kuingia kwenye ukulima wa hili zao.
Najua Kyela ni wazoefu zaidi lakini nimependelea mikoa hiyo niliyotaja kwa urahisi zaidi hasa ukizingatia mimi naishi Dar es Salaam.
Ni rahisi zaidi kufika Morogoro ama Tanga.
Ni kweli Kaka 1kg ipo 4500 mpaka Sasa tupeleke mzigo..??Ushirika ndio lilikuwa jipu, wamebadilisha now wamementain bei walau 4500 per kg
Nilikwenda ukweni nikafundishwa na shemeji yangu ndani ya wiki nilielewa kwa undani sema cocoa inaharibu ardhi sanaKama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu. Naomba mzoefu wa kilimo cha Kakao kwa mkoa wa Tanga au Morogoro ani pm tuwasiliane. Nahitaji kupata uzoefu na kujifunza zaidi kwa MTU anayefanya aina hii ya kilimo kabla ya kuingia kwenye ukulima wa hili zao.
Najua Kyela ni wazoefu zaidi lakini nimependelea mikoa hiyo niliyotaja kwa urahisi zaidi hasa ukizingatia mimi naishi Dar es Salaam.
Ni rahisi zaidi kufika Morogoro ama Tanga.
Yes,huu ni ukweli wa kuzingatia,perennial cash crops inakubidi uzifate ila sio uzivute itakula kwako.Haya mazao ya biashara ni vizuri kulima sehemu ambayo na wengine wanalima kwa ajili ya uhakika wa soko, ukijianzishia unapojua wewe, utakula mwenyewe, mazao mengi yanauzwa kwenye AMCOS, sa wewe utauza wapi