kwa dodoma sina mtu singida yupo na kama ingekuwa hapa dar survey ni 500000, report ikitoka ndio itasema maji yapo umbali gani kuanzia 40M kuja chini ni 5300000 ikizidi hapo bei maelewano hapo ni pamoja na pump maji yanatoka juu,pia huishii hapo ni lazima maji yakapimwe na mkemia ili kuthibitisha kama ni salama kwa matumizi ya binadamu utapewa cheti ambacho kitakuruhusu kutumia hata kuuza
ifahamike ni kosa la kisheria kiyatumia maji bila kuyapima
kwa anaehitaji huduma hii kwa dar na pwani ani pm nitampa mawasiliano yangu naomba kuwasilisha