mangana mkurya
Member
- Sep 15, 2015
- 93
- 10
call me 0676019019
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu Mungu akubariki sana kwa hili maana umenifundisha kitu na jamii kwa ujumla, hebu tupatie huo mchanganuo kwa maeneo ya Singida hasa maeneo ya Mkarama huko au kiomboi ili nijipime maana long plani yangu ni kufanya hivi vitu baadae ili nianzishe kilimo cha umwagiliaji. ahsante natanguliza shukrani tenakwa dodoma sina mtu singida yupo na kama ingekuwa hapa dar survey ni 500000, report ikitoka ndio itasema maji yapo umbali gani kuanzia 40M kuja chini ni 5300000 ikizidi hapo bei maelewano hapo ni pamoja na pump maji yanatoka juu,pia huishii hapo ni lazima maji yakapimwe na mkemia ili kuthibitisha kama ni salama kwa matumizi ya binadamu utapewa cheti ambacho kitakuruhusu kutumia hata kuuza
ifahamike ni kosa la kisheria kiyatumia maji bila kuyapima
kwa anaehitaji huduma hii kwa dar na pwani ani pm nitampa mawasiliano yangu naomba kuwasilisha