Natafuta mtaalamu wa kuchimba kisima cha Umwagiliaji

Natafuta mtaalamu wa kuchimba kisima cha Umwagiliaji

ingekuwa dar ningekufanyia kazi survey kwa dar ni 450000 kuchimba kisima kisicho zidi 40 M ni 5300000 hapo unafungiwa na pump

Naomba muelewe kuwa kazi haiishii hapo na lazima maji uyapeleke kwa mkemia yakapimwe kama yanafaa kwa matumizi ya binadamu kisha utapewa cheti rasmi cha uthibitisho kwamba maji hayo ni salama

pia naomba ieleweke kwamba report ya survey yenyewe huonyesha maji yako umbali gani kutoka juu ila ubora wa maji ni mpaka yatoke yakapimwe
 
kwa dodoma sina mtu singida yupo na kama ingekuwa hapa dar survey ni 500000, report ikitoka ndio itasema maji yapo umbali gani kuanzia 40M kuja chini ni 5300000 ikizidi hapo bei maelewano hapo ni pamoja na pump maji yanatoka juu,pia huishii hapo ni lazima maji yakapimwe na mkemia ili kuthibitisha kama ni salama kwa matumizi ya binadamu utapewa cheti ambacho kitakuruhusu kutumia hata kuuza

ifahamike ni kosa la kisheria kiyatumia maji bila kuyapima

kwa anaehitaji huduma hii kwa dar na pwani ani pm nitampa mawasiliano yangu naomba kuwasilisha
 
m

mkuu Mungu akubariki sana kwa hili maana umenifundisha kitu na jamii kwa ujumla, hebu tupatie huo mchanganuo kwa maeneo ya Singida hasa maeneo ya Mkarama huko au kiomboi ili nijipime maana long plani yangu ni kufanya hivi vitu baadae ili nianzishe kilimo cha umwagiliaji. ahsante natanguliza shukrani tena
 
kupima maji kama yapo ni 250,000 na kuyapima ubora wake ni 200,000 hizi ni gharama za dam ubungo chini ya wizara ya maji....

ila hizo ni gharama za dar.. kwa dodoma ni kubwa zaidi maana usafiri na maradhi ya wapimaji
 
Back
Top Bottom