Natafuta Mtima wa Moyo

Natafuta Mtima wa Moyo

chimulenga

Senior Member
Joined
Jun 28, 2023
Posts
174
Reaction score
360
Habarini wana JF,

Kutokana na maisha kwenda kasi hatuna budi kuwa na ubavu wa kushoto wa kusaidiana maisha ya hapa na pale.

Natafuta mwanamke mwenye sifa hizi:
Awe na umri 28-32.
Asiwe na mtoto.
Awe islam dini imelala kichwani yaani awe na misingi ya kidini.
Awe kaajiriwa au kajiajiri.

Wasifu wangu
Mimi najishughulisha na biashara ndogo ndogo.
Niko dar es salaam.

Kwa aliye Dar es salaam ni Muhimu zaidi.

PM KWA ALIE SERIOUS
MENGNE YOTE TUTAMALIZANA HUKO.
KARIBUN SANA
 
HABAR WANAJAMV BADO NARUDIA KUTAFUTA KIPENDA ROHO(MKE)

WENYE SIFA HIZI
UMRI 28-32
ASIWE NA MTOTO
ISLAM MWENYE UELEWA WA DINI
AWE KAJIAJIR AU KUAJIRIWA
UMBO Mwenyez Mungu alilo mjalia

Mwanamke ulie seriously njoo PM
 
Back
Top Bottom