Natafuta mtu aliyesomea Public Health/Environment Management au course ya NOSCH 1 kutoka OSHA

Cpp

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
1,199
Reaction score
2,403
Kama heading inavyosema wakuu, anahitajika mtu awe Dar hata akiwa na kazi yake hakuna shida. Mwenye sifa anicheck DM tuyajenge.
 
Kama heading inavyosema wakuu , anahitajika mtu awe Dar hata akiwa na kazi yake hakuna shida. Mwenye sifa anicheck dm tuyajenge.
Kuna mtu namfahamu alisoma Public Health, yupo kazini hapa Dar. Nacheki nae kama yupo humu nitaku-link nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…